Mbona Tundu Lissu, Lema na Wenje hawarudi nyumbani kumenoga?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ni zaidi ya mwaka sasa tokea Magufuli atwaliwe Mungu wa mbinguni lakini Wajumbe wa Kamati kuu ya Chadema Lissu, Lema na Wenje hawana dalili za kurejea nyumbani

Ikumbukwe Wenje na Lema ni marafiki wakubwa wa mzee Membe aliyerejea CCM juzi.

Akina Lema wanamuogopa nani?
Bashite?

Mwisho wa uwongo ni aibu!
 
Wanakula dola 10,000 kwa mwezi (milioni 25) kwa kisingizio cha ukimbizi, wanajua wakirudi maisha yatawapiga, wamezoea kuishi kwa maneno, hawana hata genge la kuuza nyanya, Siasa za ulaghai zinafikia mwisho.
 
Hawawezi kurudi leo wala kesho.

Huyu adui aliyekuwapo ni katili kuliko chochote.

NJAA....,,ndy adui tishio kwa yeyote kuliko adui yeyote hapa Tanzania na Africa kwa ujumla,

Wengi hukimbia njaa kwa kisingizio cha ukimbizi.
 
Hata mimi sielewi kitu hapa, huwa wanasema karibia watarudi lakini hawarudi, kama tatizo bado wanahofia usalama wao, kwanini huwa wanatoa mpaka tarehe za kurudi kwao? huo uhakika huwa wanapewa na nani?
 
Ni zaidi ya mwaka sasa tokea Magufuli atwaliwe Mungu wa mbinguni lakini Wajumbe wa Kamati kuu ya Chadema Lissu, Lema na Wenje hawana dalili za kurejea nyumbani

Ikumbukwe Wenje na Lema ni marafiki wakubwa wa mzee Membe aliyerejea CCM juzi.

Akina Lema wanamuogopa nani?
Bashite?

Mwisho wa uwongo ni aibu!
Ukiolewa ni mpaka upewe ruhusa na mme kurudi nyumbani.

Waume zao bado wanakaza.

There is no free lunch
 
Hawawezi kurudi leo wala kesho.

Huyu adui aliyekuwapo ni katili kuliko chochote.

NJAA....,,ndy adui tishio kwa yeyote kuliko adui yeyote hapa Tanzania na Africa kwa ujumla,

Wengi hukimbia njaa kwa kisingizio cha ukimbizi.
Hahaha........
 
Ni zaidi ya mwaka sasa tokea Magufuli atwaliwe Mungu wa mbinguni lakini Wajumbe wa Kamati kuu ya Chadema Lissu, Lema na Wenje hawana dalili za kurejea nyumbani

Ikumbukwe Wenje na Lema ni marafiki wakubwa wa mzee Membe aliyerejea CCM juzi.

Akina Lema wanamuogopa nani?
Bashite?

Mwisho wa uwongo ni aibu!
Lema anakula bure huko alipo na ada za wa toto zinalipwa bure. Huku Arusha anadaiwa sana na hana uwezo wa kushinda hata udiwani, salama yake ni kubaki huko aliko akiamka anaweka bando anaitukana na Serikali, mchana ukifika anaenda kuchukua mapaja ya kuku KFC anakula
 
Hawawezi kurudi leo wala kesho.

Huyu adui aliyekuwapo ni katili kuliko chochote.

NJAA....,,ndy adui tishio kwa yeyote kuliko adui yeyote hapa Tanzania na Africa kwa ujumla,

Wengi hukimbia njaa kwa kisingizio cha ukimbizi.
Embu toa kwanza funza kichwani, yaani Lema anaweza kuwa na njaa alafu wewe ukashiba ukweli. Acha kula ugali kwa picha ya samaki.
 
Hawawezi kurudi leo wala kesho.

Huyu adui aliyekuwapo ni katili kuliko chochote.

NJAA....,,ndy adui tishio kwa yeyote kuliko adui yeyote hapa Tanzania na Africa kwa ujumla,

Wengi hukimbia njaa kwa kisingizio cha ukimbizi.
Kama wewe ulivyokimbilia uswizi
 
Back
Top Bottom