Mbona Tundu Lissu, Lema na Wenje hawarudi nyumbani kumenoga?

Mbona Tundu Lissu, Lema na Wenje hawarudi nyumbani kumenoga?

Ni zaidi ya mwaka sasa tokea Magufuli atwaliwe Mungu wa mbinguni lakini Wajumbe wa Kamati kuu ya Chadema Lissu, Lema na Wenje hawana dalili za kurejea nyumbani

Ikumbukwe Wenje na Lema ni marafiki wakubwa wa mzee Membe aliyerejea CCM juzi.

Akina Lema wanamuogopa nani?
Bashite?

Mwisho wa uwongo ni aibu!
Unataka warudi ili uwaozeshe Dada zako ?
Si uwaozeshe kwa kina Ally hapi ,,!
 
Embu toa kwanza funza kichwani, yaani Lema anaweza kuwa na njaa alafu wewe ukashiba ukweli. Acha kula ugali kwa picha ya samaki.
Kwani hujuwi kama alikimbia madeni pia?

Kama mtu anafikia hatua za kukimbia madeni kwann asikimbie na njaa?

Hao akina Lisu na Lema hawawezikurudi hadi wapate vibali vya kuishi huko ulaya.

Ili wawe wanaingia huko kama mkimbizi wa kisiasa.
Hapo hakuna cha kumwogopa Magufuli wala Pole Pole.

Njaa tu zinawasumbuwa..

Huwa namuhurumia Sana mtu anayewategemea wanasiasa NJAA.
 
Ni zaidi ya mwaka sasa tokea Magufuli atwaliwe Mungu wa mbinguni lakini Wajumbe wa Kamati kuu ya Chadema Lissu, Lema na Wenje hawana dalili za kurejea nyumbani

Ikumbukwe Wenje na Lema ni marafiki wakubwa wa mzee Membe aliyerejea CCM juzi.

Akina Lema wanamuogopa nani?
Bashite?

Mwisho wa uwongo ni aibu!
KAWARUDISHE kwani uwezo huo huna?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom