johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
NdioHizo mil 25 una huakika wanazipata ?
Unataka mje kumuua?
Mbona wewe hujafa?Unataka mje kumuua?
Hah 😄 🤣 hii hatariWanaogopa wasipo pigwa risasi watalogwa
Mbona maneno magumu na mazito haya?Mbona wewe hujafa?
Ukiolewa ni mpaka upewe ruhusa na mme kurudi nyumbani.Ni zaidi ya mwaka sasa tokea Magufuli atwaliwe Mungu wa mbinguni lakini Wajumbe wa Kamati kuu ya Chadema Lissu, Lema na Wenje hawana dalili za kurejea nyumbani
Ikumbukwe Wenje na Lema ni marafiki wakubwa wa mzee Membe aliyerejea CCM juzi.
Akina Lema wanamuogopa nani?
Bashite?
Mwisho wa uwongo ni aibu!
Hahaha........Hawawezi kurudi leo wala kesho.
Huyu adui aliyekuwapo ni katili kuliko chochote.
NJAA....,,ndy adui tishio kwa yeyote kuliko adui yeyote hapa Tanzania na Africa kwa ujumla,
Wengi hukimbia njaa kwa kisingizio cha ukimbizi.
Si najifichaMbona wewe hujafa?
Lema anakula bure huko alipo na ada za wa toto zinalipwa bure. Huku Arusha anadaiwa sana na hana uwezo wa kushinda hata udiwani, salama yake ni kubaki huko aliko akiamka anaweka bando anaitukana na Serikali, mchana ukifika anaenda kuchukua mapaja ya kuku KFC anakulaNi zaidi ya mwaka sasa tokea Magufuli atwaliwe Mungu wa mbinguni lakini Wajumbe wa Kamati kuu ya Chadema Lissu, Lema na Wenje hawana dalili za kurejea nyumbani
Ikumbukwe Wenje na Lema ni marafiki wakubwa wa mzee Membe aliyerejea CCM juzi.
Akina Lema wanamuogopa nani?
Bashite?
Mwisho wa uwongo ni aibu!
Embu toa kwanza funza kichwani, yaani Lema anaweza kuwa na njaa alafu wewe ukashiba ukweli. Acha kula ugali kwa picha ya samaki.Hawawezi kurudi leo wala kesho.
Huyu adui aliyekuwapo ni katili kuliko chochote.
NJAA....,,ndy adui tishio kwa yeyote kuliko adui yeyote hapa Tanzania na Africa kwa ujumla,
Wengi hukimbia njaa kwa kisingizio cha ukimbizi.
Kama wewe ulivyokimbilia uswiziHawawezi kurudi leo wala kesho.
Huyu adui aliyekuwapo ni katili kuliko chochote.
NJAA....,,ndy adui tishio kwa yeyote kuliko adui yeyote hapa Tanzania na Africa kwa ujumla,
Wengi hukimbia njaa kwa kisingizio cha ukimbizi.
Huoni aibu kuinamishwa ukutani na majike menzio?Ukiolewa ni mpaka upewe ruhusa na mme kurudi nyumbani.
Waume zao bado wanakaza.
There is no free lunch
Mimi ni mume wakeSawa we ni Mwanamke wa Lema?
Huwa anakuja Nairobi Nampa shughuli anarudiSawa So hupo naye huko ughaibuni