Mbona Tundu Lissu, Lema na Wenje hawarudi nyumbani kumenoga?

Unataka warudi ili uwaozeshe Dada zako ?
Si uwaozeshe kwa kina Ally hapi ,,!
 
Embu toa kwanza funza kichwani, yaani Lema anaweza kuwa na njaa alafu wewe ukashiba ukweli. Acha kula ugali kwa picha ya samaki.
Kwani hujuwi kama alikimbia madeni pia?

Kama mtu anafikia hatua za kukimbia madeni kwann asikimbie na njaa?

Hao akina Lisu na Lema hawawezikurudi hadi wapate vibali vya kuishi huko ulaya.

Ili wawe wanaingia huko kama mkimbizi wa kisiasa.
Hapo hakuna cha kumwogopa Magufuli wala Pole Pole.

Njaa tu zinawasumbuwa..

Huwa namuhurumia Sana mtu anayewategemea wanasiasa NJAA.
 
KAWARUDISHE kwani uwezo huo huna?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…