Mbona Uganda iliishambulia Tanzania badala ya Kenya?

Unajifariji we mkenya ,ndio maanda KDF kula kukicha wanaliwa tu book haramu ,jeshi leni la kipuuzi sanaaa halijawahi kuwepo east africa
 
Na kdf wakijichanganya wataelew wanaume Nazi tunazopiga alafu haina matangazo wala kujidaii
 
Wakati kaka zenu wa kdf wanabikiriwa na al shabab kila siku na wengine 8 juzi wamepelekwa mavumbini
 
Nahisi Kenya ingewamiwa wanajeshi wangekilia kuiba biscuits kwenye vibada
 
Tuliposhinda vita tulitawala Uganda na kuwachulia kiongozi tena sio mmoja tu hata mseveni alikiri kwamba asingekuwa nyerere yeye asingetawala tz
 
Yaliyomkuta sasa..hakuamini macho yake
Bongo mkitaka kuchukuliwa serioulsy na nchi zingine acheni kuwavalisha wanajeshi wenu gumboot. Jemeni ni juzi tu majeshi wenu sijui kumi waliuawa na panga uko congo na wahuni.
 
Watu wa 1978/2001 ni wale waliopokea simulizi. Za kweli, na za kweli. Kaa mbali sana TPDF (JWTZ).Ya zamani na sasa. Kwa sababu walio wafundisha hawa wa sasa ni wazamani. Wazani ndio walilwafundisha Na kuwakomboa nchi za SADC.
 
Bongo mkitaka kuchukuliwa serioulsy na nchi zingine acheni kuwavalisha wanajeshi wenu gumboot. Jemeni ni juzi tu majeshi wenu sijui kumi waliuawa na panga uko congo na wahuni.
Kenya kambi nzima iliteketezwa na wanajeshi zaidi ya 300 waliuliwa na Alshaabab wanaotumia AK47, silaha mnazonunua ni kama mnawanunulia Alshaabab, wakiishiwa silaha, wanavamia kambi za KDF wanachukua wanazotaka, hadi sasa zaidi ya wanajeshi 1200 wameshauliwa. Jeshi la ovyo sana KDF
 
mpende msipende,TZ itaenda kwa historia kuwa nchi ya kwanza kuvamiwa na jirani africa mashariki, kama una hasira elekeza uganda. dont shoot the messenger.
 
danganya wasiofahamu historia, mzee kenyata alikuwa anamnyenyekea sana Amini hivyo amini alikuwa na uhakika hata wa kuifanya kenya yote iwe sehemu ya uganda bila shida. Ngoma ilikuwa kwa wanaume TANZANIA, kwanza tulimhifadhi adui yake Obote ambaye mzee kenyatta aliogopa kumpa hifadhi akiogopa kichapo cha amini. Mti wenye matunda ndiyo hurushiwa mawe jombaa. Mpaka sasa kenya ni taifa dhaifu sana kijeshi katika ukanda huu, rejea mgogoro wa kisiwa cha migingo dhidi ya uganda...........mzee kibaki alifyata mkia baada ya mzee museveni kukitaka na kutunisha misuli. poor kenyans
 
mpende msipende,TZ itaenda kwa historia kuwa nchi ya kwanza kuvamiwa na jirani africa mashariki, kama una hasira elekeza uganda. dont shoot the messenger.
usisahau Pia Tanzania ni taifa pekee katika bara la Afrika lililoweza kuzuia uvamizi wa adui na kumwadabisha kwa kichapo cha mbwa mwizi kisha kumweka madarakani mtu waliyemtaka. Mambo kama haya duniani yanafanywa na watu wenye weledi kijeshi tu kama US, RUSSIA, UK NA UNITED REPUBLIC OF TANZANIA!
 
usinikumbushe, kenya drinking force, kdf
 
Hujui lolote bwana mdogo , Hii vita haikuwa ya Tanzania na Uganda Bali Tanzania na USA
Ni vigumu kuelewa maana ,nyie hamjui siasa
 
mpende msipende,TZ itaenda kwa historia kuwa nchi ya kwanza kuvamiwa na jirani africa mashariki, kama una hasira elekeza uganda. dont shoot the messenger.
na heri tuelekeze uganda maana unaelewa kenya hamna kitu, nakumbuka pindi jeshi la ethiopia lilikosea likavamia kambi ya jeshi kaskazini mwa kenya kdf wakatimua mbio kama mgambo, ingetokea tanzania, hiyo vita mwisho wake ingekuwa addis ababa
 
Vita ya kagera

Tanzania alipigana na
UGANDA
LIBYA
USA

na tukashinda [emoji81][emoji81][emoji81][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Mseng.e hana alama, atajipitisha pitisha hapa ili afuatwe pm. Sasa hiyo vita Amin alikua na back up ya Libya na Usa na akafeli.

Al shabab wanawazungusha weee na hata back up yao shit na hawako organized.
 
mpende msipende,TZ itaenda kwa historia kuwa nchi ya kwanza kuvamiwa na jirani africa mashariki, kama una hasira elekeza uganda. dont shoot the messenger.
Purpose yoyote ya vita ni ushinde au ushindwe. Fine alijarib kuvamia, but alfanikiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…