black wing chun
Member
- May 7, 2018
- 17
- 10
Unajifariji we mkenya ,ndio maanda KDF kula kukicha wanaliwa tu book haramu ,jeshi leni la kipuuzi sanaaa halijawahi kuwepo east africaTPDF sasa inajigamba na silaha za.kichina. silaha ambazo ni copy and paste kuota Ussr. Hizi silaha hazijatumika kwa vita vyema kujulikana kama ni imara. Izo ndege sijui J9 ambazo ni mig 21 old model zaweza pigwa na kungatuliwa na jiwe tuseme mjaluo akirusha. Ndege bure kabisa. Tz wakauzwa kwa mchina wasijue la kufanya. Atleast sasa hawatumii mishale tena na panga uko.