Mbona Uganda iliishambulia Tanzania badala ya Kenya?

NA HII ILITOKANA NA UKWELI KWAMBA KENYA WALIKUWA WANAMWOGOPA AMINI KUPITA MAELEZO
 
Asante mkuu
 
JWTZ haina mshindani hapa Afrika mashariki, jamaa wanavunja matofali hadi matofali ya kujenga nyumba yanakosekana! [emoji23][emoji23][emoji23] Wakimaliza wanaanza kuvuta magari kwa meno hadi landrover za break down zinakosa biashara! [emoji38][emoji38]
 
Iddi amin na Gaddafi walichapwa na vifaa vyao wenyewe.. Gaddafi alimpa Iddi amin majeshi kibao na mavifaa ya kutosha lakini hivyohivyo vifaa ndio vikatumika kumchapa mwenyewe..
 
na ndio maana kazi yenu ni kuhost uvamizi
Tanzania is one of the few countries that hosted Che' Guevera a international reberation heroe quoted and ideologized across the world. Kenya hosts thieves and Genocide masterminds like Felicien Kabuga from Rwanda
 
na ndio maana kazi yenu ni kuhost uvamizi
Issue sio uvamizi ila Tanzania ni moja ya nchi yenye mchango mkubwa kusini mwa jangwa la sahara katika kusaidia nchi nyingine kupata uhuru
 
The Argentinean revolutionary and hero of the Cuban revolution, Ernesto “Che” Guevara, spent over four months in Tanzania between 1965 and 1966. He entered Tanzanian soil a total of three times, once publicly and twice in secret between February and November of 1965. Che was attracted to Tanzania because it was the headquarters of most liberation movements from southern Africa; it was one of the centers of revolutionary thought in the African continent at the time.
 
We Kenya kwanin Luna makomando ,?na kama WAPO wengi wanawake coz waoga hawana weledi kabisaaa ,sasa itakua wakike bleed inawasumbua katika mazoezi
 
Nyie Kenya makomando wenu wamezoea vunja chokoleti na biskut only [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Historia ya Tanzania imepotoshwa makusudi na watawala. ukiongea na wanajeshi waliopigana hiyo vita wanasema tulipigw vibaya, tukasaidiwa na Uingereza, pia wanajeshi wetu waliawa sana kuliko namba inayotajwa. OVA
IWEJE TUPIGWE HALAFU TUSHINDE VITA? ACHA KUAMBIWA AMBIWA TU MTAANI, PATA TAARIFA ZA UHAKIKA KUTOKA VYANZO VYA KUAMINIKA.
 
Mimi nitaendelea kuwakumbusha watanzania na wakenya wengi hawana kazi za .....

Maana wanaongoza kwa kusutana mitandaoni....

Na huyu mkenya sijui kaandika nini!!! Ilimradi tu aanze kusutana na watz ndio furaha yake
 
IWEJE TUPIGWE HALAFU TUSHINDE VITA? ACHA KUAMBIWA AMBIWA TU MTAANI, PATA TAARIFA ZA UHAKIKA KUTOKA VYANZO VYA KUAMINIKA.
Tulishinda baada ya waingereza kuja kutupa backup...mganda alikuwa supported na libya na tulichakazwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…