majeshi 1981
JF-Expert Member
- Dec 7, 2013
- 2,090
- 812
NA HII ILITOKANA NA UKWELI KWAMBA KENYA WALIKUWA WANAMWOGOPA AMINI KUPITA MAELEZOUNAIJUA HISTORIA VIZURI?
Obote alipopinduliwa unajua alikimbilia wapi kwa mara ya kwanza ili kupata hifadhi?
M.A.Obote baada ya kupinduliwa alikimbilia Kenya,akapokelewa D.A.Moi uwanja wa ndege JKIA.
Moi akasema Kenya haiwezi kumpa hifadhi ya kisiasa kwa kuogopa uhusiano wake na Idd Amin. Hivyo akaishia hapo JKIA na kuja kupata hifadhi ya kisiasa Tanzania.