Mbona Uganda iliishambulia Tanzania badala ya Kenya?

Mbona Uganda iliishambulia Tanzania badala ya Kenya?

TPDF sasa inajigamba na silaha za.kichina. silaha ambazo ni copy and paste kuota Ussr. Hizi silaha hazijatumika kwa vita vyema kujulikana kama ni imara. Izo ndege sijui J9 ambazo ni mig 21 old model zaweza pigwa na kungatuliwa na jiwe tuseme mjaluo akirusha. Ndege bure kabisa. Tz wakauzwa kwa mchina wasijue la kufanya. Atleast sasa hawatumii mishale tena na panga uko.
Sijajua una maana gani,nikusaidie tu kwa habari hii,TPDF iko imara katika ukanda huu wa Africa Masharik
 
Naskia amin hakua na uhusiano mzuri na kenya,,kuna siku alikua anasafiri ndege yake ikaharibika injini ikabidi atue kenya kwa dharula

Rais wa kenya wa wakati huo,,jommo kenyata akampa amin ndege ya serikali ya kenya impeleke amin uganda

Amin akakataa akasema watamuua,akiofia kuwekewa bomu,ikabidi apande ndege hiyo na makamu wa rais wa wakati huo wa kenya mpaka uganda
 
Mshafikiria kutuhusu kwa iyo mada ya KDF wanane kuuwawa na IED uko Somalia na magaidi wa al shabaab. Sasa tunaangazia TPDF kushambuliwa na UPDF. iyo tu.
Nimekuambia hujui historia na wewe ni mtoto wa 90's wakati wa idi Amin kulikuwa hakuna UPDF. Haijawahi kutokea Uganda kushambulia TPDF. Amini alivamia nchi ya Tanzania sio jeshi la Tanzania, lakini majibu aliyapata.
 
Naskia amin hakua na uhusiano mzuri na kenya,,kuna siku alikua anasafiri ndege yake ikaharibika injini ikabidi atue kenya kwa dharula

Rais wa kenya wa wakati huo,,jommo kenyata akampa amin ndege ya serikali ya kenya impeleke amin uganda

Amin akakataa akasema watamuua,akiofia kuwekewa bomu,ikabidi apande ndege hiyo na makamu wa rais wa wakati huo wa kenya mpaka uganda
Uo uchungu wote aliutolea TZ poleni ndugu zetu wapendwa
 
Kwa kutukana umepata faida gani?
Kwa taarifa yako hamna tusi jipya, yaani matusi yako ni very outdated. Na utukanaji sio ujanja Wala sio uungwana.
Endelea kutukana.
aisee 'dili' na hali yako! sisi wakenya hatujui kuficha mambo. mazuri au mabaya yote tunayaweka wazi ili suluhisho zipatikane kwahivyo kuita mods hapa kwasababu ukweli umekuchoma ni upumbavu.
 
aisee 'dili' na hali yako! sisi wakenya hatujui kuficha mambo. mazuri au mabaya yote tunayaweka wazi ili suluhisho zipatikane kwahivyo kuita mods hapa kwasababu ukweli umekuchoma ni upumbavu.
Nakuonea huruma sana. Kwa hiyo serikali yako imekutuma JF kuja kutukana watu?
 
Huyo jamaa ni Mkenya so nlitegemea aandike kitu kama hicho, maana nikawaida kwa wakenya ku undermine tz yetu, batuleke!
 
Muambie kwanini makundi yote yaliyokua yanampinga Idd Amin waliamua kuja kuishi Tanzania sio Kenya?, Obote, Yuweri Museven, Yusuph Lulee, na wengine wengi?, Kenya iliogopa kwamba ikiwahifadhi Amini ataiteka Kenya ndani ya mwezi mmoja.
Sio hao tu, ata wale wapiganaji wa ANC walipiga kambi bongo na wengine wengi wa nchi za kusini mwa jangwa la sahara
 
Cha kushangaza TZ aikuwa na uasama wowote na Uganda kama Kenya. Idi amin alidhani TZ kuwa nchi hafifu sana isiyo na mwelekeo na kuelekeza chuki yake dhidi ya Kenya uko. Cha muhimu kujua ni kuwa aliogopa kuishambulia Kenya manake alijua ni nchi hatari sana na jeshi imara. Tz bado icho kipindi aikuwa na jeshi kamili wengi Katika TPDF walikuwa na panga na mishale aisee. Ukishangaa ya musa....
TPDF we Mtoto mfuate baba yako au mama yako mwambie akuhadithie vita ya kagera ilivyokua!!waulize je,TPDF walikuwa na panga na mishale??
nb;jinsi alivyodharau tanzania IDD AMIN ndivyo nyinyi wakenya mnavotudharau leo hii msije kujichanganya mkaingia anga zetu..
eti TPDF wana panga na mishale ...kijana unachekesha sana
 
Mshafikiria kutuhusu kwa iyo mada ya KDF wanane kuuwawa na IED uko Somalia na magaidi wa al shabaab. Sasa tunaangazia TPDF kushambuliwa na UPDF. iyo tu.
sasa kwani UPDF mnawaweza nyie??ni vile we dogo huna historia!!unakumbuka mlianza kuleta chokochoko na Uganda mseveni akasema KDF ni jeshi legelege..!!akawataka msogeze pua zenu, mlisogeza??
 
sasa kwani UPDF mnawaweza nyie??ni vile we dogo huna historia!!unakumbuka mlianza kuleta chokochoko na Uganda mseveni akasema KDF ni jeshi legelege..!!akawataka msogeze pua zenu, mlisogeza??
Kusema ni tofauti na kutenda. Muulize alipitia nini alipojariku kuattack Western Kenya. Uliza Idi Amin nini ilifanyika alipotaka kunyakua Kenya hadi Naivasha.
 
Back
Top Bottom