Mbona uzalishaji umeme wa Julius Nyerere hatuoni umuhimu wake?

Afcon kinanuka

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2026
Posts
1,623
Reaction score
4,213
Huu mradi wa uzalishaji umeme wa julius nyerere ambao ni mkubwa kuliko mradi wowote africa mashariki hatuuoni kabisa umhimu wake sisi kama watanganyika.

Magufuli alisema kabisa mradi ukikamilika bei ya umeme ishuke chini lakini imekuwa kinyume chake yaani imepanda.kwa sasa uniti za umeme zimepanda maradufu.

Yaani watanzania tunaona ni bora tusingelijenga tu maana limetumia kodi zetu nyingi kwa matarajio ya kuwa ingeshusha bei ya umeme lakini matokeo yake Samia kapandisha bei kuanzia huduma ya kuunganishwa huduma ya umeme hadi units tuzazouziwa.

Rest in peace jpm.
 
Nilivyoona licha ya kuwa na hilo bwawa la Nyerere lakini bado jamaa wana mpango wa kwenda kununua umeme Ethiopia, nikajua tayari tumeshapigwa.

Hii serikali ni ya hovyo sana, wanatuibia wazi wazi mpaka kipofu anaona.
 
Huu mradi wa uzalishaji umeme wa julius nyerere ambao ni mkubwa kuliko mradi wowote africa mashariki hatuuoni kabisa umhimu wake sisi kama watanganyika.

Magufuli alisema kabisa mradi ukikamilika bei ya umeme ishuke chini lakini imekuwa kinyume chake yaani imepanda.kwa sasa uniti za umeme zimepanda maradufu.

Yaani watanzania tunaona ni bora tusingelijenga tu maana limetumia kodi zetu nyingi kwa matarajio ya kuwa ingeshusha bei ya umeme lakini matokeo yake Samia kapandisha bei kuanzia huduma ya kuunganishwa huduma ya umeme hadi units tuzazouziwa.

Rest in peace jpm.
Acheni kupenda na kuendekeza anasa nyie. Umeme wa ni kwa sisi watanzania? Si kuna jua, mwezi na kuni. Mbona mababu zetu walisurvuve?
 
1.Mwanadamu hana thamani Tanzania (Tanganyika)

2.CCM hawawezi na hawapo madarakani kwa ajili ya watu,Wapo kwa ajili matumbo yao na kutetea Ulaji wao!

Ukiyaelewa haya inapaswa utulie mkuu!

Ndiyo maana kama vijana wa hili Taifa tunakila sababu ya kuhakikisha hawa wapumbavu wanatoka madarakani kwa namna yeyote ile!

Rasilimali za hili Taifa wananchi hawajawahi kunufaika nazo,bali Majizi yananufaika yenyewe huku yakiendelea kuwaambia wananchi "Lindeni amani"
 
HAPA NJIA NI KUKINUKISHA TU.KAA MKAO WA KUKINUKISHA SIKU YA UFUNGUZI WA AFCON
 
Huu mradi wa uzalishaji umeme wa julius nyerere ambao ni mkubwa kuliko mradi wowote africa mashariki hatuuoni kabisa umhimu wake sisi kama watanganyika.

Magufuli alisema kabisa mradi ukikamilika bei ya umeme ishuke chini lakini imekuwa kinyume chake yaani imepanda.kwa sasa uniti za umeme zimepanda maradufu.

Yaani watanzania tunaona ni bora tusingelijenga tu maana limetumia kodi zetu nyingi kwa matarajio ya kuwa ingeshusha bei ya umeme lakini matokeo yake Samia kapandisha bei kuanzia huduma ya kuunganishwa huduma ya umeme hadi units tuzazouziwa.

Rest in peace jpm.
Mpaka chama kingine kishike madaraka ndio mafanikio yaonekane.
 
Cha muhimu ni umeme wa uhakika km una taka bei nafuu nunua solar uweke nyumban kwako

Watu sku izi tumesahau tatizo la umeme mda mwingi umeme unapatikana na ikitokea umekatika bas ni kwa muda mfupi au kuna matengenezo pahara

Cha muhimu umeme wa uhakika kama unaona unit zimepanda bas huna sifa wala vigezo vya kumiliki umeme nyumban kwako.
 
Ninyi ndiyo mnaturudisha nyuma kimaendeleo.kwa rasilimali tulizonazo inatakiwa bei ya umeme ishuke ili ichochee uchumi kwa kuvutia wawekezaji.Rwanda ambayo haina umemw mwingi kama wetu lakini umeme wao kwa wananchi ni bei nafuu sana.
 
Back
Top Bottom