Afcon kinanuka
JF-Expert Member
- Apr 5, 2026
- 1,623
- 4,213
No, aliweza kushusha ghArama ya kuungamisha umeme kuwa 27,000 na ilifanya kazi, usitulishe matango poriMambo mengine ya JPM yalikua ni kujilisha upepo tu.
Muhimu umeme uwe wa uhakika tu 100%
Hata huku nilipo umeme huzima mara kwaHalafu huku niliko umeme umekata tangu saa 3 asubuhi! Kwani TANESCO mna shida gani nyinyi?
Hapana.inatakiwa ushuke bei ili kila mtanganyika aweze kutumia umemeMambo mengine ya JPM yalikua ni kujilisha upepo tu.
Muhimu umeme uwe wa uhakika tu 100%
Acheni kupenda na kuendekeza anasa nyie. Umeme wa ni kwa sisi watanzania? Si kuna jua, mwezi na kuni. Mbona mababu zetu walisurvuve?Huu mradi wa uzalishaji umeme wa julius nyerere ambao ni mkubwa kuliko mradi wowote africa mashariki hatuuoni kabisa umhimu wake sisi kama watanganyika.
Magufuli alisema kabisa mradi ukikamilika bei ya umeme ishuke chini lakini imekuwa kinyume chake yaani imepanda.kwa sasa uniti za umeme zimepanda maradufu.
Yaani watanzania tunaona ni bora tusingelijenga tu maana limetumia kodi zetu nyingi kwa matarajio ya kuwa ingeshusha bei ya umeme lakini matokeo yake Samia kapandisha bei kuanzia huduma ya kuunganishwa huduma ya umeme hadi units tuzazouziwa.
Rest in peace jpm.
Ni kweli kabisa.hata sgr imeanza kujifiaKipi ambacho gavoo wameanzisha kikawa na effect kwa 100% ? Iwe ni mradi ama chochote kile
Jibu ni hakuna, watu wanapiga pesa wanapita hivi
HAPA NJIA NI KUKINUKISHA TU.KAA MKAO WA KUKINUKISHA SIKU YA UFUNGUZI WA AFCON1.Mwanadamu hana thamani Tanzania (Tanganyika)
2.CCM hawawezi na hawapo madarakani kwa ajili ya watu,Wapo kwa ajili matumbo yao na kutetea Ulaji wao!
Ukiyaelewa haya inapaswa utulie mkuu!
Ndiyo maana kama vijana wa hili Taifa tunakila sababu ya kuhakikisha hawa wapumbavu wanatoka madarakani kwa namna yeyote ile!
Rasilimali za hili Taifa wananchi hawajawahi kunufaika nazo,bali Majizi yananufaika yenyewe huku yakiendelea kuwaambia wananchi "Lindeni amani"
Mpaka chama kingine kishike madaraka ndio mafanikio yaonekane.Huu mradi wa uzalishaji umeme wa julius nyerere ambao ni mkubwa kuliko mradi wowote africa mashariki hatuuoni kabisa umhimu wake sisi kama watanganyika.
Magufuli alisema kabisa mradi ukikamilika bei ya umeme ishuke chini lakini imekuwa kinyume chake yaani imepanda.kwa sasa uniti za umeme zimepanda maradufu.
Yaani watanzania tunaona ni bora tusingelijenga tu maana limetumia kodi zetu nyingi kwa matarajio ya kuwa ingeshusha bei ya umeme lakini matokeo yake Samia kapandisha bei kuanzia huduma ya kuunganishwa huduma ya umeme hadi units tuzazouziwa.
Rest in peace jpm.
... ilifanya kazi kwa kuidhoofisha sana TANESCO, na ingeendelea ingebidi shirika litangazwe mufilisi!No, aliweza kushusha ghArama ya kuungamisha umeme kuwa 27,000 na ilifanya kazi, usitulishe matango pori
Hakuna kitu kama hicho.... ilifanya kazi kwa kuidhoofisha sana TANESCO, na ingeendelea ingibidi shirika litangazwe mufilisi!
Ninyi ndiyo mnaturudisha nyuma kimaendeleo.kwa rasilimali tulizonazo inatakiwa bei ya umeme ishuke ili ichochee uchumi kwa kuvutia wawekezaji.Rwanda ambayo haina umemw mwingi kama wetu lakini umeme wao kwa wananchi ni bei nafuu sana.Cha muhimu ni umeme wa uhakika km una taka bei nafuu nunua solar uweke nyumban kwako
Watu sku izi tumesahau tatizo la umeme mda mwingi umeme unapatikana na ikitokea umekatika bas ni kwa muda mfupi au kuna matengenezo pahara
Cha muhimu umeme wa uhakika kama unaona unit zimepanda bas huna sifa wala vigezo vya kumiliki umeme nyumban kwako.