Hata Sina kinyongo
Senior Member
- May 16, 2020
- 118
- 280
Upo na account Facebook?Kuna mtu mpaka alianzisha Ukurasa wake facebook aliniita corona virus Tanzania na alijipa kazi ya kutoa taarifa za vifo, naona nae Kimyaaa. Ha ha ha ha Mkemia wa CHATO kawaweza Sana hawa mawakala wa Mabeberu
Mbona send off πππNdio sababu Mwl Ummy alipongezwa mjengoni, na jumapili ijayo ni send off ya Corona...teh[emoji23]
Alafu naskia wengi walio ng'ata shuka, walikua na magonjwa mengine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu umenipa msemo!Ndio sababu Mwl Ummy alipongezwa mjengoni, na jumapili ijayo ni send off ya Corona...teh[emoji23]
Alafu naskia wengi walio ng'ata shuka, walikua na magonjwa mengine.
Kwani wehauna taarifa mkuu..??Mbona send off [emoji23][emoji23][emoji23]
......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi natafuta fataki za kulipua...zinauzwa wapi!J2 full shangwe, tushapewa ruhusa ya kupiga kelele na kushangilia
Umepona?Ndio sababu Mwl Ummy alipongezwa mjengoni, na jumapili ijayo ni send off ya Corona...teh[emoji23]
Alafu naskia wengi walio ng'ata shuka, walikua na magonjwa mengine.
Ndio sababu Mwl Ummy alipongezwa mjengoni, na jumapili ijayo ni send off ya Corona...teh[emoji23]
Alafu naskia wengi walio ng'ata shuka, walikua na magonjwa mengine.
Imeshaisha hiyo!Mbona send off πππ