Mbona vifo tata vimepungua sana!?

Mbona vifo tata vimepungua sana!?

Ha ha ha ha Mungu ibariki Tanzania na timu yangu ya Yanga!!!

"corona ipo tuchukue tahadhari"
IMG_20200421_020827.jpg
 
Yaani baada ya kuona hiyo timu ya yanga tu hapo chini basi tayari uzi wote umebatilika.
 
Mkuu..vifo vingi tatanishi vilitokea kwa sababu nchi nyingi ambazo watu wslikua wanaenda kutibiwa magonjwa yao zilifungwa.

Hivyo kupelekea watu hao kushindwa kwenda kupata tiba na dawa na walishazoea hivyo za hapa nchini walikua wameshazipuuza na kuziona zinatibu sisi akina yakhe.

kwa maana hiyo basi wakapukutika kwa kukosa hizo tiba zao za gharama na high standard na matokeo yake wakarudisha namba na kutuacha sisi tunaotibiwa kwenye hospital zetu za kata tukiendelea na maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ni matokeo ya NYUNGU tulizojifukiza baada ya mwezi vitanda vitakuwa tupu vya wagonjwa wa corona hospitali zote. Kuna vitu alishauri JPM vimefanya kazi na kutoa matokeo chanya
 
Kwakweli hali ni tofauti na wiki mbili nyuma vifo tata na hata uenezwaji wa taarifa za vifo vihusianavyo na Corona havisikiki tena!


Hata wanaharakati waliokuwa wakitujuza misiba mbalimbali na kuihusianisha na Covid 19 pia wapo kimya!


Ndiyo kusema Corona bye-bye!?


Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
Hapo mwisho ulipoomba baraka ndio umeuwa zaidi

Sent using kidole gumba
 
Back
Top Bottom