Mbona vifo tata vimepungua sana!?

Yaani baada ya kuona hiyo timu ya yanga tu hapo chini basi tayari uzi wote umebatilika.
 
Mkuu..vifo vingi tatanishi vilitokea kwa sababu nchi nyingi ambazo watu wslikua wanaenda kutibiwa magonjwa yao zilifungwa.

Hivyo kupelekea watu hao kushindwa kwenda kupata tiba na dawa na walishazoea hivyo za hapa nchini walikua wameshazipuuza na kuziona zinatibu sisi akina yakhe.

kwa maana hiyo basi wakapukutika kwa kukosa hizo tiba zao za gharama na high standard na matokeo yake wakarudisha namba na kutuacha sisi tunaotibiwa kwenye hospital zetu za kata tukiendelea na maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ni matokeo ya NYUNGU tulizojifukiza baada ya mwezi vitanda vitakuwa tupu vya wagonjwa wa corona hospitali zote. Kuna vitu alishauri JPM vimefanya kazi na kutoa matokeo chanya
 
Hapo mwisho ulipoomba baraka ndio umeuwa zaidi

Sent using kidole gumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…