Mbona vifo tata vimepungua sana!?

Wameshindwa na kulegea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona nyungu zimesaidia sana 🤣 🤣 🤣
 
Mkuu, hili swala limekuwa linanipa shida kidogo.
Kwani mimi sio binadamu na sipaswi kuumwa?
Naomba urudi ukarudie kusoma tena, ukikuta sehem niliandika kwamba ninaumwa corona wallahi ninakupatia 20,000 ya usumbufu this morning..
Mkuu Hali ilikuwa mbaya unabisha leo hahahahahah corona kiboko
 
Ndio sababu Mwl Ummy alipongezwa mjengoni, na jumapili ijayo ni send off ya Corona...teh[emoji23]
Alafu naskia wengi walio ng'ata shuka, walikua na magonjwa mengine.
Umeua mzee! Kumbe walio ng’ata shuka walikuwa na magonjwa yao mengine afu wanasingizia Corona sio!
 
Hahahaa aunt kajifungua so namsaidia kulea
He he! Ole wako uninyime utajua kwanini jiwe yupo chato mpaka sahivi na utaelewa kwanini alipima yale matunda yakakutwa na cov.. utajua tu vizuri
 
Nina amini tumevuka maana wote tumeshapigwa na corona!
Na walio jifungia ndani siku wakitoka tuna wapumulia ile corona OG ole wao wakenya!
 
Ha ha ha ha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…