Mbona vifo tata vimepungua sana!?

Kuna mtu mpaka alianzisha Ukurasa wake facebook aliniita corona virus Tanzania na alijipa kazi ya kutoa taarifa za vifo, naona nae Kimya. Ha ha ha ha Mkemia wa CHATO kawaweza Sana hawa mawakala wa Mabeberu
Mkemia wa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…