Mbona wachina wanavuta Sana sigara ila hawapati Sana madhara kama kansa kama watu wengine

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Ukitaka kujua wachina wanavuta sigara fanya nao kazi hata siku moja yaani NI bandua bandika kwa wastani ndani ya dakika 10 anavuta sigara zaidi ya 3 sasa nauliza mbona ukiangalia afya zao NI njema hawakooi hovyo wala kusumbuliwa na mapafu na nadhani hata lifespan Yao iko juu.Hii kitaalam imekuaje ni kwamba zao hazina nicotine Sana au Wana madawa Yao ya kuondoka nicotine Kiasi wasiogope sigara?Na unakuta kaanza kuvuta akiwa na Miaka 20 mpaka anakuwa mzee bado Tu anafyonza ila huku kwetu mvutaji ambaye NI Chainsmoke utamjua Tu ukimuona ngozi ya lips na hata afya yake kwa ujumla.
 
Attachments

  • DSC_0089.JPG
    DSC_0089.JPG
    288.7 KB · Views: 39
🤣🤣🤣🤣🤣 kwanini pia wavuta bangi wana vidole vyao special.....

Naweza jibu kitaalamu zaidi.. ipo hvi binadamu tumetofautiana kutokana na mazingira hii inaitwa adaptation due to environmental factors...

Mfano leo hii unaweza kuona watu wa Scandinavian wanavyokata pombe lakini wapo physical fit lakini huku kwetu mlevi unamuonaje...

Ndio ipo hvo kwa wachina wenyewe wametokea sehmu ambayo humidity yao imefanya wawe na strongly alveoli sacs ambazo nicotine diffusion ina take place kwa high rate hii inapelekea kutolewa chap kwa mapafu...

Factor zipo nyingi kuna ishu ya lungs capacity na NPV
 
China ni ya 9 duniani kwa vifo vitokanavyo na tumbaku. Inayoongoza ni N. Korea na vinchi vingine vya kijamaa vya Ulaya Mashariki na Asia.

Usisubiri kuona miili imetapakaa barabarani ndio uamini wachina wanakufa kwa sigara. Ni kwamba wanakufa kweli kweli.
 
Ukitaka kujua wachina wanavuta sigara fanya nao kazi hata siku moja yaani NI bandua bandika kwa wastani ndani ya dakika 10 anavuta sigara zaidi ya 3 sasa nauliza mbona ukiangalia afya zao NI njema hawakooi hovyo wala kusumbuliwa na mapafu na nadhani hata lifespan Yao iko juu.Hii kitaalam imekuaje ni kwamba zao hazina nicotine Sana au Wana madawa Yao ya kuondoka nicotine Kiasi wasiogope sigara?Na unakuta kaanza kuvuta akiwa na Miaka 20 mpaka anakuwa mzee bado Tu anafyonza ila huku kwetu mvutaji ambaye NI Chainsmoke utamjua Tu ukimuona ngozi ya lips na hata afya yake kwa ujumla.
Kuna sababu za kijenetiki, madhara ya sigara yanaathiri sana ngozi nyeusi, wanafuatia wazungu, mwisho waasia.
 
Ukitaka kujua wachina wanavuta sigara fanya nao kazi hata siku moja yaani NI bandua bandika kwa wastani ndani ya dakika 10 anavuta sigara zaidi ya 3 sasa nauliza mbona ukiangalia afya zao NI njema hawakooi hovyo wala kusumbuliwa na mapafu na nadhani hata lifespan Yao iko juu.Hii kitaalam imekuaje ni kwamba zao hazina nicotine Sana au Wana madawa Yao ya kuondoka nicotine Kiasi wasiogope sigara?Na unakuta kaanza kuvuta akiwa na Miaka 20 mpaka anakuwa mzee bado Tu anafyonza ila huku kwetu mvutaji ambaye NI Chainsmoke utamjua Tu ukimuona ngozi ya lips na hata afya yake kwa ujumla.
Wachina wapo 1.406b,wewe kwenu mpo wangapi?
 
🤣🤣🤣🤣🤣 kwanini pia wavuta bangi wana vidole vyao special.....

Naweza jibu kitaalamu zaidi.. ipo hvi binadamu tumetofautiana kutokana na mazingira hii inaitwa adaptation due to environmental factors...

Mfano leo hii unaweza kuona watu wa Scandinavian wanavyokata pombe lakini wapo physical fit lakini huku kwetu mlevi unamuonaje...

Ndio ipo hvo kwa wachina wenyewe wametokea sehmu ambayo humidity yao imefanya wawe na strongly alveoli sacs ambazo nicotine diffusion ina take place kwa high rate hii inapelekea kutolewa chap kwa mapafu...

Factor zipo nyingi kuna ishu ya lungs capacity na NPV
Tupe madini poor brain

Tupe madini poor brain!
 
Ukitaka kujua wachina wanavuta sigara fanya nao kazi hata siku moja yaani NI bandua bandika kwa wastani ndani ya dakika 10 anavuta sigara zaidi ya 3 sasa nauliza mbona ukiangalia afya zao NI njema hawakooi hovyo wala kusumbuliwa na mapafu na nadhani hata lifespan Yao iko juu.Hii kitaalam imekuaje ni kwamba zao hazina nicotine Sana au Wana madawa Yao ya kuondoka nicotine Kiasi wasiogope sigara?Na unakuta kaanza kuvuta akiwa na Miaka 20 mpaka anakuwa mzee bado Tu anafyonza ila huku kwetu mvutaji ambaye NI Chainsmoke utamjua Tu ukimuona ngozi ya lips na hata afya yake kwa ujumla.
Hawa wachina unaowasema wewe ni wale uliokua nao kwa kipindi kifupi,,,haziwezi kutoa suluhisho kwamba wao hawaathiriki na sigara.
Hata hivyo sio kila anaevuta sigara lazima apate kansa au matatizo ya mapafu,,,Kuna wazee wengi vijijini wanavuta sonyo/goso na Wana miaka zaidi ya sabini.

Sigara inaathiri watu wengi lakini sio wote.
 
Ukitaka kujua wachina wanavuta sigara fanya nao kazi hata siku moja yaani NI bandua bandika kwa wastani ndani ya dakika 10 anavuta sigara zaidi ya 3 sasa nauliza mbona ukiangalia afya zao NI njema hawakooi hovyo wala kusumbuliwa na mapafu na nadhani hata lifespan Yao iko juu.Hii kitaalam imekuaje ni kwamba zao hazina nicotine Sana au Wana madawa Yao ya kuondoka nicotine Kiasi wasiogope sigara?Na unakuta kaanza kuvuta akiwa na Miaka 20 mpaka anakuwa mzee bado Tu anafyonza ila huku kwetu mvutaji ambaye NI Chainsmoke utamjua Tu ukimuona ngozi ya lips na hata afya yake kwa ujumla.
Wnavuta NYOTA?
 
Sijawahi kukutana na mchina ambaye hakohoi tena ni wachafu kwenye kutema mate yanatema kama Cobra.

Kuna siku tupo sehemu carwash pembeni kuna mama lishe, mchina akabanja akatema makohozi. Weeeee yule maza alimuwashia moto wahuni wakamzunguka nusu mchina alie. Akakimbilia kwenye gari akatoa sime. Hapo ndipo alipoharibu ule ugomvi ulienda kumalizikia polisi.

Alichapwa makofi akawa mwekundu wahuni walikuwa wanamtamani balaa wampe kichapo.

Anyways tukirejea kwenye swala la kansa. China pia ina kiwango kikubwa sana cha waathirika wa uvutaji wa sigara kama mabara mengine na katika magonjwa ya kansa , kansa ya mapafu ndio kansa inayoongoza china kwa kuua watu.

Sababu zipo wazi, China ikiwa ni wachuuzi na watumiaji namba moja wa tumbaku Duniani, ina wavuta sigara milioni 300 ambao ni sawa na 1/3 ya wavuta sigara dunia nzima.

Takwimu za shirika la afya Duniani zinaripoti kuwa kwa kila mwaka wastani wa wagonjwa 870,000 wa ugonjwa wa kansa ya mapafu hupatikana na vifo hufikia hadi wagonjwa 714,000 kwa mwaka. So si kwamba china wapo salama kama unavyodhania,nao wanateswa na kansa kama mabara mengine.

Sababu za China kutokuonekana ni wahanga ni kama ifuatavyo:

Kansa ya mapafu huchukua miaka 20 hadi 30 kubainika au kuanza kumsumbua mtumiaji wa sigara a.k.a Chainsmoker.

Matumizi makubwa ya tumbaku China yameanza miaka ya 1980's baada ya marekebisho ya sera za kiuchumi. Hivyo kesi za kansa zimeanza kulipuka miaka ya 2000 hadi 2020, ina maana wavutaji wa kizazi cha kuanzia 1990 mwishoni kuja 2000 ambao ni wengi zaidi bado PDF lao halijatolewa.

Kwahiyo china nayo pia ina majanga ya kansa ya mapafu kama matokeo ya uvutaji wa sigara. Hakuna sigara special ambazo hazina madhara kwa wavutaji waliopitiliza.
 
Ukitaka kujua wachina wanavuta sigara fanya nao kazi hata siku moja yaani NI bandua bandika kwa wastani ndani ya dakika 10 anavuta sigara zaidi ya 3 sasa nauliza mbona ukiangalia afya zao NI njema hawakooi hovyo wala kusumbuliwa na mapafu na nadhani hata lifespan Yao iko juu.Hii kitaalam imekuaje ni kwamba zao hazina nicotine Sana au Wana madawa Yao ya kuondoka nicotine Kiasi wasiogope sigara?Na unakuta kaanza kuvuta akiwa na Miaka 20 mpaka anakuwa mzee bado Tu anafyonza ila huku kwetu mvutaji ambaye NI Chainsmoke utamjua Tu ukimuona ngozi ya lips na hata afya yake kwa ujumla.
wanatumia sana ant oxidant za kuondoa sumu mwilini
 
Back
Top Bottom