Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,644
- 20,009
Duh aisee 🤔Sijawahi kukutana na mchina ambaye hakohoi tena ni wachafu kwenye kutema mate yanatema kama Cobra.
Kuna siku tupo sehemu carwash pembeni kuna mama lishe, mchina akabanja akatema makohozi. Weeeee yule maza alimuwashia moto wahuni wakamzunguka nusu mchina alie. Akakimbilia kwenye gari akatoa sime. Hapo ndipo alipoharibu ule ugomvi ulienda kumalizikia polisi.
Alichapwa makofi akawa mwekundu wahuni walikuwa wanamtamani balaa wampe kichapo.