ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
China ni ya 9 duniani kwa vifo vitokanavyo na tumbaku. Inayoongoza ni N. Korea na vinchi vingine vya kijamaa vya Ulaya Mashariki na Asia.Ukitaka kujua wachina wanavuta sigara fanya nao kazi hata siku moja yaani NI bandua bandika kwa wastani ndani ya dakika 10 anavuta sigara zaidi ya 3 sasa nauliza mbona ukiangalia afya zao NI njema hawakooi hovyo wala kusumbuliwa na mapafu na nadhani hata lifespan Yao iko juu.Hii kitaalam imekuaje ni kwamba zao hazina nicotine Sana au Wana madawa Yao ya kuondoka nicotine Kiasi wasiogope sigara?Na unakuta kaanza kuvuta akiwa na Miaka 20 mpaka anakuwa mzee bado Tu anafyonza ila huku kwetu mvutaji ambaye NI Chainsmoke utamjua Tu ukimuona ngozi ya lips na hata afya yake kwa ujumla.
Kuna sababu za kijenetiki, madhara ya sigara yanaathiri sana ngozi nyeusi, wanafuatia wazungu, mwisho waasia.Ukitaka kujua wachina wanavuta sigara fanya nao kazi hata siku moja yaani NI bandua bandika kwa wastani ndani ya dakika 10 anavuta sigara zaidi ya 3 sasa nauliza mbona ukiangalia afya zao NI njema hawakooi hovyo wala kusumbuliwa na mapafu na nadhani hata lifespan Yao iko juu.Hii kitaalam imekuaje ni kwamba zao hazina nicotine Sana au Wana madawa Yao ya kuondoka nicotine Kiasi wasiogope sigara?Na unakuta kaanza kuvuta akiwa na Miaka 20 mpaka anakuwa mzee bado Tu anafyonza ila huku kwetu mvutaji ambaye NI Chainsmoke utamjua Tu ukimuona ngozi ya lips na hata afya yake kwa ujumla.
Wachina wapo 1.406b,wewe kwenu mpo wangapi?Ukitaka kujua wachina wanavuta sigara fanya nao kazi hata siku moja yaani NI bandua bandika kwa wastani ndani ya dakika 10 anavuta sigara zaidi ya 3 sasa nauliza mbona ukiangalia afya zao NI njema hawakooi hovyo wala kusumbuliwa na mapafu na nadhani hata lifespan Yao iko juu.Hii kitaalam imekuaje ni kwamba zao hazina nicotine Sana au Wana madawa Yao ya kuondoka nicotine Kiasi wasiogope sigara?Na unakuta kaanza kuvuta akiwa na Miaka 20 mpaka anakuwa mzee bado Tu anafyonza ila huku kwetu mvutaji ambaye NI Chainsmoke utamjua Tu ukimuona ngozi ya lips na hata afya yake kwa ujumla.
Hizo tafiti we umezitoa wapi?Kuna sababu za kijenetiki, madhara ya sigara yanaathiri sana ngozi nyeusi, wanafuatia wazungu, mwisho waasia.
Tupe madini poor brain🤣🤣🤣🤣🤣 kwanini pia wavuta bangi wana vidole vyao special.....
Naweza jibu kitaalamu zaidi.. ipo hvi binadamu tumetofautiana kutokana na mazingira hii inaitwa adaptation due to environmental factors...
Mfano leo hii unaweza kuona watu wa Scandinavian wanavyokata pombe lakini wapo physical fit lakini huku kwetu mlevi unamuonaje...
Ndio ipo hvo kwa wachina wenyewe wametokea sehmu ambayo humidity yao imefanya wawe na strongly alveoli sacs ambazo nicotine diffusion ina take place kwa high rate hii inapelekea kutolewa chap kwa mapafu...
Factor zipo nyingi kuna ishu ya lungs capacity na NPV
Tupe madini poor brain!🤣🤣🤣🤣🤣 kwanini pia wavuta bangi wana vidole vyao special.....
Naweza jibu kitaalamu zaidi.. ipo hvi binadamu tumetofautiana kutokana na mazingira hii inaitwa adaptation due to environmental factors...
Mfano leo hii unaweza kuona watu wa Scandinavian wanavyokata pombe lakini wapo physical fit lakini huku kwetu mlevi unamuonaje...
Ndio ipo hvo kwa wachina wenyewe wametokea sehmu ambayo humidity yao imefanya wawe na strongly alveoli sacs ambazo nicotine diffusion ina take place kwa high rate hii inapelekea kutolewa chap kwa mapafu...
Factor zipo nyingi kuna ishu ya lungs capacity na NPV
Wrong! N. Korea, China, Vietnam miongoni mwa nchi vinara vifo vya tumbaku duniani. Wote hao jamii moja, jenetiki moja.Kuna sababu za kijenetiki, madhara ya sigara yanaathiri sana ngozi nyeusi, wanafuatia wazungu, mwisho waasia.
Rich brain anasubiri kukabidhiwa jimbo kwenye ule mchongo wa tunatikiiTupe madini poor brain
Tupe madini poor brain!
Hawa wachina unaowasema wewe ni wale uliokua nao kwa kipindi kifupi,,,haziwezi kutoa suluhisho kwamba wao hawaathiriki na sigara.Ukitaka kujua wachina wanavuta sigara fanya nao kazi hata siku moja yaani NI bandua bandika kwa wastani ndani ya dakika 10 anavuta sigara zaidi ya 3 sasa nauliza mbona ukiangalia afya zao NI njema hawakooi hovyo wala kusumbuliwa na mapafu na nadhani hata lifespan Yao iko juu.Hii kitaalam imekuaje ni kwamba zao hazina nicotine Sana au Wana madawa Yao ya kuondoka nicotine Kiasi wasiogope sigara?Na unakuta kaanza kuvuta akiwa na Miaka 20 mpaka anakuwa mzee bado Tu anafyonza ila huku kwetu mvutaji ambaye NI Chainsmoke utamjua Tu ukimuona ngozi ya lips na hata afya yake kwa ujumla.
China ina watu zaidi ya bilioni moja, usiangalie idadi angalia %ge.Wrong! N. Korea, China, Vietnam miongoni mwa nchi vinara vifo vya tumbaku duniani. Wote hao jamii moja, jenetiki moja.
Wnavuta NYOTA?Ukitaka kujua wachina wanavuta sigara fanya nao kazi hata siku moja yaani NI bandua bandika kwa wastani ndani ya dakika 10 anavuta sigara zaidi ya 3 sasa nauliza mbona ukiangalia afya zao NI njema hawakooi hovyo wala kusumbuliwa na mapafu na nadhani hata lifespan Yao iko juu.Hii kitaalam imekuaje ni kwamba zao hazina nicotine Sana au Wana madawa Yao ya kuondoka nicotine Kiasi wasiogope sigara?Na unakuta kaanza kuvuta akiwa na Miaka 20 mpaka anakuwa mzee bado Tu anafyonza ila huku kwetu mvutaji ambaye NI Chainsmoke utamjua Tu ukimuona ngozi ya lips na hata afya yake kwa ujumla.
Wnavuta NYOTA?
wanatumia sana ant oxidant za kuondoa sumu mwiliniUkitaka kujua wachina wanavuta sigara fanya nao kazi hata siku moja yaani NI bandua bandika kwa wastani ndani ya dakika 10 anavuta sigara zaidi ya 3 sasa nauliza mbona ukiangalia afya zao NI njema hawakooi hovyo wala kusumbuliwa na mapafu na nadhani hata lifespan Yao iko juu.Hii kitaalam imekuaje ni kwamba zao hazina nicotine Sana au Wana madawa Yao ya kuondoka nicotine Kiasi wasiogope sigara?Na unakuta kaanza kuvuta akiwa na Miaka 20 mpaka anakuwa mzee bado Tu anafyonza ila huku kwetu mvutaji ambaye NI Chainsmoke utamjua Tu ukimuona ngozi ya lips na hata afya yake kwa ujumla.