Mbona wachina wanavuta Sana sigara ila hawapati Sana madhara kama kansa kama watu wengine

Duh aisee 🤔
 
Sio kweli, katika hospitali za China kuna wagonjwa wengi sana wa kansa ya mapafu...anzia na HongKong, Quanzhou na sehemu zingine
 
Hili swali nimewahi kujiuliza sana. Nashukuru majibu yaliyojibiwa humu leo yamenipa ufumbuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…