Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,092
- 2,923
- Thread starter
-
- #21
Hao ni civilian lakini hawa ni higly trained soldiers aka commandos. Wakigusa ni dakika 0 umedead..so vitambi ni aina udhaifuKwanini unahoji kuhusiana na vitambi vya walinzi na sio vitambi vya walimu na madaktari kwa maana hao wote ni watumishi wa serikali?
Doooo!!!!Duh!
Hamna sio protocol kwanini kwanza urushe jiweWe ukitaka kujua kama wana vitambi or not..wakipita rushia msafara wao jiwe..afu uje utusimulie.
Mwanajeshi yupo pale kama Symbolic kuonesha kuwa pale yupo Amiri Jeshi mkuu ila pia yule ni Aide de Camp (ADC) yani Mpambe wa Rais The rest ulinzi wa mzee upo chini ya hao unaona wamevaa kiraia with Comms GadgetsUnachosema ni sahihi lkn kuna utofauti kati yao. Mfano mlinzi wa raisi JMT yule anaevaa mavazi ya kijeshi ni yuko fiti sababu alikotokea kila siku ni mazoezi tosha kulingana na ratiba za kijeshi zilivyo.
Tofauti na hao usalama wa taifa hawa hupewa mafunzo na namna ya kukabiliana na hali za hatari lakini kulingana na majukumu yao nadhani hawaoni umuhimu huo.
Kama siyo mlinzi jaribu kumsogelea Rais siku hiyo utakuja hapa kunishukuru, yule ni mlinzi ndiyo maana mda wote yuko makini ata nzi akitua kichwani kwa Mh anamfokeaYule sio mlinzi ni AID DE CAMP mpambe yaani wa rais
Hizo ni maana tu tunapewa lkn ni mlinzi kama wengine ambao umefanikiwa kuwaona wakimzunguka raisi wa JMTMwanajeshi yupo pale kama Symbolic kuonesha kuwa pale yupo Amiri Jeshi mkuu ila pia yule ni Aide de Camp (ADC) yani Mpambe wa Rais The rest ulinzi wa mzee upo chini ya hao unaona wamevaa kiraia with Comms Gadgets
Mkuu sisi tunapewa majukumu ya kwao ila fahamu huyo ADC kazi yake kubwa ni kumlinda raisi na yeye ndo last defender ya raisi eneo lolote la hatari.Sijui mtakuja kuelewa lini kuwa ADC sio Mlinzi
Wako wengi tu tofauti ni namna ya kufanya majukumu yako ya kila siku ktk eneo lako la kazi. Majukumu ya jeshi yanatofautiana kulingana na cheo chako yaan kuna walio kiutawala na kiutendaji physical na pia uko section ipi ya kimajukumu.Mkuu
Kuna wanajeshi wanavitambi mpaka unaweza kuogopa.. Sema labda hujakutana nao.
Sijakataa kuwaa hamlindi Rais mana ingitokea action yeye na akaweza kumlinda lazima afanye ivo ila primary role yake pale sio ulinziHizo ni maana tu tunapewa lkn ni mlinzi kama wengine ambao umefanikiwa kuwaona wakimzunguka raisi wa JMT
Pia ni watoto wa Dada zao yaani wajombaKwasababu niwalinzi wa viongoz wa Afrika ndio maana wana vitambi aka viriba 2mbo
Wa kiafrika wengi ni watu wazima, hawana mazoezi, hawa ni vijana na wana mazoezi makaliHABARI wana jukwaa natumai watu ni wazima wa afya na mko tiyari kabisa kuchagua kiongozi bora kwa manufaa ya Taifa letu la uchumi wa kati.
Bila kuwachosha naenda to the main topic on hand nimekuwa nikifuatilia walinzi wa maraisi mbali mbali duniani haswa bara la Afrika maana nami nina ndoto ya kuja kuwa mmoja wa walinzi wa rais in future.
Licha ya kuwa wamepewa mafunzo ya hali ya juu, lakini sijui kwanini wanakuwa vitambi maana Enzi za Adolf Hitler alikuwa anachukia sana askari mwenye kitambi ni dalili ya aina fulani ya weaknesses.
Maana ukiangalia viongozi wa rais wa china, Marekani ni very slim yaan wako na ile fitness ya hali juu. Nikibahatika kuwa mlinzi wa kiongozi sitokuwa na kitambi na nitahakikisha askari wote hawana vitambi.