Mbona walinzi wa viongozi Bara la Afrika wana vitambi?

Mbona walinzi wa viongozi Bara la Afrika wana vitambi?

Kwasababu niwalinzi wa viongoz wa Afrika ndio maana wana vitambi aka viriba 2mbo
 
We ukitaka kujua kama wana vitambi or not..wakipita rushia msafara wao jiwe..afu uje utusimulie.
 
Hakuna statement inanitia huzuni kama hii ya kuona kila kitambi ni obesity hata kama hakitokani na lishe kamili au duni wengine tukiwa na furaha tu vitambi vinamea bila hata kula.
 
nasikia ni bullet proof, risasi haziumi sana kwenye kitambi na haziharbu vital organs hahaaa
 
Unachosema ni sahihi lkn kuna utofauti kati yao. Mfano mlinzi wa raisi JMT yule anaevaa mavazi ya kijeshi ni yuko fiti sababu alikotokea kila siku ni mazoezi tosha kulingana na ratiba za kijeshi zilivyo.

Tofauti na hao usalama wa taifa hawa hupewa mafunzo na namna ya kukabiliana na hali za hatari lakini kulingana na majukumu yao nadhani hawaoni umuhimu huo.
Mwanajeshi yupo pale kama Symbolic kuonesha kuwa pale yupo Amiri Jeshi mkuu ila pia yule ni Aide de Camp (ADC) yani Mpambe wa Rais The rest ulinzi wa mzee upo chini ya hao unaona wamevaa kiraia with Comms Gadgets
 
Mwanajeshi yupo pale kama Symbolic kuonesha kuwa pale yupo Amiri Jeshi mkuu ila pia yule ni Aide de Camp (ADC) yani Mpambe wa Rais The rest ulinzi wa mzee upo chini ya hao unaona wamevaa kiraia with Comms Gadgets
Hizo ni maana tu tunapewa lkn ni mlinzi kama wengine ambao umefanikiwa kuwaona wakimzunguka raisi wa JMT
 
Sijui mtakuja kuelewa lini kuwa ADC sio Mlinzi
Mkuu sisi tunapewa majukumu ya kwao ila fahamu huyo ADC kazi yake kubwa ni kumlinda raisi na yeye ndo last defender ya raisi eneo lolote la hatari.
 
Mkuu
Kuna wanajeshi wanavitambi mpaka unaweza kuogopa.. Sema labda hujakutana nao.
Wako wengi tu tofauti ni namna ya kufanya majukumu yako ya kila siku ktk eneo lako la kazi. Majukumu ya jeshi yanatofautiana kulingana na cheo chako yaan kuna walio kiutawala na kiutendaji physical na pia uko section ipi ya kimajukumu.
 
Hizo ni maana tu tunapewa lkn ni mlinzi kama wengine ambao umefanikiwa kuwaona wakimzunguka raisi wa JMT
Sijakataa kuwaa hamlindi Rais mana ingitokea action yeye na akaweza kumlinda lazima afanye ivo ila primary role yake pale sio ulinzi
 
HABARI wana jukwaa natumai watu ni wazima wa afya na mko tiyari kabisa kuchagua kiongozi bora kwa manufaa ya Taifa letu la uchumi wa kati.

Bila kuwachosha naenda to the main topic on hand nimekuwa nikifuatilia walinzi wa maraisi mbali mbali duniani haswa bara la Afrika maana nami nina ndoto ya kuja kuwa mmoja wa walinzi wa rais in future.

Licha ya kuwa wamepewa mafunzo ya hali ya juu, lakini sijui kwanini wanakuwa vitambi maana Enzi za Adolf Hitler alikuwa anachukia sana askari mwenye kitambi ni dalili ya aina fulani ya weaknesses.

Maana ukiangalia viongozi wa rais wa china, Marekani ni very slim yaan wako na ile fitness ya hali juu. Nikibahatika kuwa mlinzi wa kiongozi sitokuwa na kitambi na nitahakikisha askari wote hawana vitambi.

Wa kiafrika wengi ni watu wazima, hawana mazoezi, hawa ni vijana na wana mazoezi makali
 
Back
Top Bottom