franco15
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 518
- 208
wameona hazina ishu, we hadi kibakuli ndani
Hahahahaha my ribs!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wameona hazina ishu, we hadi kibakuli ndani
Nimejaribu kuangalia social media za wasanii karibu wote wakubwa wa nijeria lakini hakuna hata mmoja ameshobokea hadi sasa kupost chochote wala kuomba kura kama ilivyokua kwenye nomination za Mtv
Je hazina uzito kivile ama nini?
wewe tuzo gani hadi cheketwa yupo ndomana hazina mpango
hata mi nimejaribu kupitia ac za kina Davido, Wizkid,Yemi Alade,Psquare nobody cares!
Hawana pressure, wanafahamu mashabiki wa Tanzania wapo wataenda kuwapigia bila kuwaomba kura zao!!!Nimejaribu kuangalia social media za wasanii karibu wote wakubwa wa nijeria lakini hakuna hata mmoja ameshobokea hadi sasa kupost chochote wala kuomba kura kama ilivyokua kwenye nomination za Mtv
Je hazina uzito kivile ama nini?
Vigezo na masharti kuzingatiwa... nyie pigeni kelele huku na kura zenu za maruhani but at the end, aliye best ndie atakuwa mshindi!zinatofautiana uzito, mtv ipo juu sana mpaka uwe nominated ni ishu..
Ila ndio tujue utofauti wa tuzo za kimataifa, mtv pesquare hakupost hata picha moja wala kuomba kura, the sama to wizkid, lakini Psquare kaondoka na tuzo mbili...
Duh! We jamaa mjeuri... Yaani Mlinzi wa Tembo wenu unamshusha hivyo!!!wameona hazina ishu, we hadi kibakuli ndani
Mbona Mtvmama walishoboka yaani akiwa nominated pale pale anapost na majigambo kibao
wameona hazina ishu, we hadi kibakuli ndani
Duh! We jamaa mjeuri... Yaani Mlinzi wa Tembo wenu unamshusha hivyo!!!
Ni kweli mkuu umeongea kitu ambacho hata mimi nimekiona p square wahakuwahi kupost wala kuomba kupigiwa kura na hata hao wengine hawakuwa wanaposti kila siku kuomba kura, WAANDAAJI WA HIZI TUNZO ZA KIMATAIFA KUPIGA KURA SIO NDO KILA KITU ILA VIGEZO NA MASHARTI UZINGATIWAzinatofautiana uzito, mtv ipo juu sana mpaka uwe nominated ni ishu..
Ila ndio tujue utofauti wa tuzo za kimataifa, mtv pesquare hakupost hata picha moja wala kuomba kura, the sama to wizkid, lakini Psquare kaondoka na tuzo mbili...