Mbona wanaijeria hawashobokei kabisa AFRIMMA?

Mbona wanaijeria hawashobokei kabisa AFRIMMA?

Nimejaribu kuangalia social media za wasanii karibu wote wakubwa wa nijeria lakini hakuna hata mmoja ameshobokea hadi sasa kupost chochote wala kuomba kura kama ilivyokua kwenye nomination za Mtv

Je hazina uzito kivile ama nini?

Hizi tuzo bado changa, zinachofanya ni kutafuta nguvu kupitia industries zenye nguvu Africa. Wabongo wanashoboka kama unavyosema kwa kuwa huku kwetu ishu za tuzo ni deal kwa kuwa tuna tuzo moja tu ya kueleweka.
Kikubwa cha kukiangalia ni namna industry yetu inavyo anza kutazamwa huko nje. Ila hizi tuzo zingine tusizipigie sana kelele naona ata Chibu kapost mara moja tu isionekane kapania. Kiufupi hizi tuzo bado hazina impact kiivyo kibiashara but tusizipuuze kimoja sie bado tunakuwa kimuziki unyenyekevu sio kitu kibaya.
 
mbona twitter wameomba kura au ninyi mmdangalia mitandao gani
 
hata mi nimejaribu kupitia ac za kina Davido, Wizkid,Yemi Alade,Psquare nobody cares!

zinatofautiana uzito, mtv ipo juu sana mpaka uwe nominated ni ishu..

Ila ndio tujue utofauti wa tuzo za kimataifa, mtv pesquare hakupost hata picha moja wala kuomba kura, the sama to wizkid, lakini Psquare kaondoka na tuzo mbili...
 
Nimejaribu kuangalia social media za wasanii karibu wote wakubwa wa nijeria lakini hakuna hata mmoja ameshobokea hadi sasa kupost chochote wala kuomba kura kama ilivyokua kwenye nomination za Mtv

Je hazina uzito kivile ama nini?
Hawana pressure, wanafahamu mashabiki wa Tanzania wapo wataenda kuwapigia bila kuwaomba kura zao!!!
 
zinatofautiana uzito, mtv ipo juu sana mpaka uwe nominated ni ishu..

Ila ndio tujue utofauti wa tuzo za kimataifa, mtv pesquare hakupost hata picha moja wala kuomba kura, the sama to wizkid, lakini Psquare kaondoka na tuzo mbili...
Vigezo na masharti kuzingatiwa... nyie pigeni kelele huku na kura zenu za maruhani but at the end, aliye best ndie atakuwa mshindi!
 
zinatofautiana uzito, mtv ipo juu sana mpaka uwe nominated ni ishu..

Ila ndio tujue utofauti wa tuzo za kimataifa, mtv pesquare hakupost hata picha moja wala kuomba kura, the sama to wizkid, lakini Psquare kaondoka na tuzo mbili...
Ni kweli mkuu umeongea kitu ambacho hata mimi nimekiona p square wahakuwahi kupost wala kuomba kupigiwa kura na hata hao wengine hawakuwa wanaposti kila siku kuomba kura, WAANDAAJI WA HIZI TUNZO ZA KIMATAIFA KUPIGA KURA SIO NDO KILA KITU ILA VIGEZO NA MASHARTI UZINGATIWA
 
Back
Top Bottom