Mbona wanaoshangilia Viti Maalum vya CHADEMA ni CCM?

Sasa eti Mwanasheria mkuu anahaha kuwafutia kesi zao zote zikiwemo za kupigwa na magerezaccm kisha kesi hii ndiyo CCM ya sasa isiyojali chochote wala kuona Aibu kufanya vioja
 
Maagizo toka juu ili wapate buku 7 ndo maana hata humu JF yamejaa na ujinga wao mpaka wachangiaji mahili wamehama wala haina mvuto tena. Lumumba yameteka JF hata mimi nitahama kama Mayalla ingawa sina njaa!
Mayala Paskal yupo JF lakini huchangia kwa uoga uoga kwani bado anawinda uteuzi kwa udi na uvumba
 
Pamoja na Mwanasheria Mkuu Wa Serikali, aliekua akishirikiana na DPP kuwafungulia kesi za ajabu mahakamani na kuwanyima dhamana.
Mwanasheria wa Serikali kajitoa fahamu kaongea vitu vya ajabu bila Aibu kuwa watumwa wa kike tokea chadema wapo Bungeni kisheria ingawa wapo Bungeni kwa njia haramu za kishetani
 
Njaa ya misaada toka nje ndiyo umewafanya CCM kujitoa fahamu kuwafurahia watumwa wa kike tokea chadema kwa njia haramu za kishetani
 
Sasa eti Mwanasheria mkuu anahaha kuwafutia kesi zao zote zikiwemo za kupigwa na magerezaccm kisha kesi hii ndiyo CCM ya sasa isiyojali chochote wala kuona Aibu kufanya vioja
Wazungu waendelee kukaza hakuna pesa kuja Korea ya Kaskazini.
 
Unapoteza pumzi yako na hiyo porojo yako,,,, mnatuchosha sana,,, it seems your brain in bent badly bent,,, list your NGO for their money and we will soon close them NGO rubbishes
 
Hata Lema akipigwa risasi leo watakaolaumiwa ni CCM! Sababu ni kwamba CCM wana interest na kila kitu cha nchi hii, kila mtu.
CCM ni chama dola...
 
S

Shangaa nawewe
Mnahusishwa na game msiyoijua subirini kesho ndiyo mazishi ya CDM rasmi cos those women are very powerful and will bring CDM to its knees,,,, mlipoambiwa mwisho wa upinzani mlifikiri utani sasa wakati wenu wa kuaminishwa ni kesho,,, wafukuzeni uwanachama hao wanawake muone!!!
 
Nadhani ccm wanashangilia kuona haki za wanawake za kikatiba zinalindwa dhidi ya mfumo dume wa akina mnyika/lissu na kundi lao
 
CCM hatushangilii, tunawacheka nyumbu maana mlichonga Sana na huyo beberu lenu Amsterdam, Mara ICC, Mara hamuitambui serikali na hakukuwa na uchaguzi, Aida Khenani afukuzwe chadema na utopolo mwingiiiii.
Sasa Mara mmelegea mmepeleka wabunge, lazima tuwashangae Hawa nyumbu vipi huwa hamjielewi mnachosema tofauti na mnachofanya tofauti.
Nyumbu hovyo kabisa.
 
Rudi’s Henk pesa ya corona kwakua Maliki Tinu kwa nyungu
 
Mmethibitisha kichapo Cha shoga mwizi mlichopata kwenye uchaguzi ni halali.
 
Supika na mwanasheria mkuu wameahidi kuwatetea. Wakiongozwa na serikali dhalimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…