Mbona wanaoshangilia Viti Maalum vya CHADEMA ni CCM?

Siasa bwana ni kitu cha ajabu sana. CCM ikishangilia mbaya, ikuzomea mbaya, sasa ebu shauri wafanye nini. Alafu ni aibu kujadili namna ya kufadhiliwa.
Hakuna ujinga kama MTU kujadili na familia yako, na kumwambia mkeo tujitahi kumfurahisha mzee fulani ili aendelee kutufadhili. Muhimu ni kujadili namna ya kusimama kama taifa.
 
Itoshe kusema kwamba uchaguzi ulikuwa huru na wa haki!
 
Asee umeandika kwa weledi wa hali ya juu mno
 
Aksante kwa kuwajuza mbogamboga.
 
Sababu ya kwanza uliyotoa ndiyo sahihi. Zingine ni hovyo kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…