OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mada ni kwa mtindo wa swali.
Nguvu inayotumiwa na jamii ya Kiafrica kukemea ushoga inaridhisha. Ni kikundi kidogo sana kinaunga mkono ushoga.
Kwa sasa ukienda gest hamruhusiwi kulala wanaume tupu labda mlazimishe kwa kumpanga mhudumu. Lakini suala ya wanawake kulala chumba kimoja ni ruksa.
Nikiitazama jamii ya kike naiona kama haina muda na usagaji, sikikii matamko makali makali kama ya ushoga.
Simaanishi ushoga usikemewe vikali kama usagaji lah hasha, nahoji kwa nini wanawake hawawawashii moto wasagaji? Hauna baya?