Mbona wanawake hawakemei Usagaji kama sisi tunavyokemea ushoga?

Status
Not open for further replies.
Kwahiyo unafurahia MAPENZI YA JINSIA MOJA?
Mbona unafosi sana ndugu hizo mada zako?

Wewe ikuuma basi unataka dunia nzima ituume? kwani dhambi ndio hiyo tu unayoiona hapa duniani?

Nimekuambia i have nothing to do na mapenzi ya jinsia moja full stop

Kwani lazima nijibu mtihani wa shule nisiyosoma na haunihusu?

Hebu shika asabu yako kwanza
 
Wanawake bana sijui wakoje. Kwanza ni kawaida kabisa kwao kukaa vyumbani mwao wakiwa uchi na unakuta wamo hata wanne. Kwaio hawa sisi tunatofautiana nao sana, hata sio wa kujifananisha nao
 
Wewe ikuuma basi unataka dunia nzima ituume? kwani dhambi ndio hiyo tu unayoiona hapa duniani?

nimekuambia i have nothing to do na mapenzi ya jinsia moja full stop

kwani lazima nijibu mtihani wa shule nisiyosoma na haunihusu?

Hebu shika asabu yako kwanza
Wewe ni mtetezi wa MAPENZI YA JINSIA MOJA.

Unabisha?
 
Ndugu kwani lazima wote tufanye kile unakiona wewe ni sahihi?
Mbona una mawazo yakitoto sa na mgando mnoo?
Unapokuwa wewe mpingaji au shabiki haina maana kila mtu lazima achukue upande ni kila mtu yuko bize na mfumo wa maisha yake.

Sitetei wala silaumu jambo lisilo nihusu wewe ndio unayewashwa kila siku kuwawekea mada watu ambao sijui mmekoseana nini, sasa sio lazima nasisi tuwe kama wewe,
Wewe unawaona wanadhambi,wakosaji wasiostahili kuwepo Mimi nawaona ni binadamu walio sawa na binadamu wote na wanastahili kupewa heshima yao.

Muhimu nikuishi maisha yako tu yanayokuhusu sio kulazimisha kila mtu awe na misimamo kama yakwako.

Kama unapumuliwa endelea kuwashwa kama haupumuliwi basi endelea na mambo yako sio kila kesi uwe hakimu utapasuka msamba bure
 
Haya.
 
Madhara yapo mentally na spiritually zaid kuliko physically.
1. Kunapunguza au kuondoa ham kabsa ya kushiriki ngono na mwanaume
Basi hakuna madhara kwa anayefanya, inawezekana hataki mwanaume.
 
mbona unafosi sana ndugu hizo mada zako?

Wewe ikuuma basi unataka dunia nzima ituume? kwani dhambi ndio hiyo tu unayoiona hapa duniani?

nimekuambia i have nothing to do na mapenzi ya jinsia moja full stop

kwani lazima nijibu mtihani wa shule nisiyosoma na haunihusu?

Hebu shika asabu yako kwanza
Nilichogundua uyu nae anafanya huu mchezo usibishane nae tena uache muogope Mungu.mana maneno yake tu yanaonesha sio mwezetu n punga
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom