OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Huyu ni mke wangu kabisa.Meseji nyingi karibia zote anaanza na maneno laini/matamu akimuita rafiki yake.Kuna muda inanikera ila yeye anajiona swaafi!Hawa mi siwaelewagi
Sometimes unakuta wao kwa wao wanaitana mpenzi
Yani yale maeno yote ambayo unamuita demu wako, wao wanayatumia kuitana
Kila mwanamke ana asili ya usagaji ndio maana wanabusu-iana
W.T.F!!Usagaji ni reversible
Anaweza kuolewa huyu na kuzaa na kuendeleza vizazi
Ushoga ni irreversible
[emoji2]Sie hatudhuriki km nyie,,
Hata kwenye kupunyetika inawadhuru Sana nyie na kwa haraka,, ila sie tunapeta tu,