Mbona wanawake hawakemei Usagaji kama sisi tunavyokemea ushoga?

Status
Not open for further replies.
By nature all women are lesbian
 
naweza nisieleweke kabisa,
ila hao ni asili yao kufanyiwa hivyo,
haiathiri uwezo wake wakuwa mwanamke,
shida ni mwanaume ukipumuliwa shida tayari hata uanaume unaanza kuisha
 
Kwahiyo unatetea MAPENZI YA JINSIA MOJA?
Sio utetezi wa mapenzi ya jinsia moja labda nikuulize jambo hili,
Kuwaacha watoto wacheze kibaba baba nikuwafundisha au kutetea ngono zembe au uzinifu?

Unalopaswa nikuelewa kiasili mwanamke katika mapenzi ana nafasi gani, na mwanaume ana nafasi gani.
wanawake katika yote wanabakia kuwa wanawake na watafanyiana kile mwanamke alipaswa kufanyiwa lakini kwa mwanaume inakemewa sana sababu wanakuwa wanafanya jambo ambalo mwanamke anapaswa kufanyiwa na linakuja kwa mwanaume
 
Mmmmmh baadhi,,

Binafsi sitamani hata kuona inakuwaje
 
huyu ni mke wangu kabisa.Meseji nyingi karibia zote anaanza na maneno laini/matamu akimuita rafiki yake.Kuna muda inanikera ila yeye anajiona swaafi!
Unasubiri Nini kumpa onyo Kali !?
 
Unasubiri Nini kumpa onyo Kali !?
Ukwel nilikuwa sijajua kama ni vyedi au sivyedi.

Yeye nilimuuliza(si unajua wake wa mwendokasi) alinijibu eti "unadhani huyu Shamlati(nime-edit jina) anaweza kunitia?" maana'ke alitaka nisimhisi vibaya kwani huyo rafk yke eti hana madhara wakiongea vile!
 
madhara yapo mentally na spiritually zaid kuliko physically.
1. Kunapunguza au kuondoa ham kabsa ya kushiriki ngono na mwanaume
Mbona mi kuna ladies nlikuaga nawajua ni lesbians lakini vile vile wanapelekewa moto sana....hii imekaaje
 
Nahisi kwao haina uzito sana tfaut na wanaume sababu wanawake wakisagana bdo watabaki kuwa hvo hvo na wakija kwa wanaume wanapelekewa moto kam kawaida

Ila mwanaume akishaanza kupumuliwa basi uanaume wote unaondoka anaanza kuwa kam mwanamke na uchoko mwingi
 
Ni rahisi kuwagundua na kuwakemea wanaume (miondoko yao) waliofukuliwa kuliko wanawake waliolambana wanajificha sana
 
JIBU SWALI:

UNATETEA MAPENZI YA JINSIA MOJA?
 
Huenda si jambo liloshamiri .
 
JIBU SWALI:

UNATETEA MAPENZI YA JINSIA MOJA?
Sitetei wala siyapingi jambo ambalo halinihusu sidhani kama napaswa kulivalia njuga yoyote,
kuna maovu zaidi ya hilo na hayasemwi wala kuvaliwa njuga hivyo sina unafiki wa kijinga kwa namna yoyote ile.
 
Si kweli mkuu.
Ni vile haujafuatilia,
Hizo mambo za kipepo hell NO.
Unaachaje muwa kwa mfano.
Many women would agree men are to blame for everything. They would like that I say this, as it suits their egos just fine.

What doesn't suit them is the implication I derive from this blame - that women are "lesser" because they are less accountable for the state of civilization
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…