We nawe yaani hata kama ndo ku-read between lines wewe umezidi sijui una-read between words?
Eti kaka Masaki lol
Babra hongera kwa kubatizwa dia wajua sikuwa na habari so nikawa nang'aa tu macho hapa.hata akija kwako utegemee vitimbi pia, hana msimamo! akishavunja ndoa yake coz ya mwanaume mwingine utegemee lolote kwa mwanamke wa dizaini hii.
Mwanakijiji inawezekana kabisa hakuwa moyoni mwako wewe kwa sababu kama alikuwepo ni wewe ambaye ulitakiwa kuiondoa ile "kaka" aliyokuwa anakuita, ni wewe ambaye ulitakiwa kuuvunja ukimya umesahau mabinti wa enzi hizo hawakuwa na ujasiri wa kujitokeza na kung'ara kama kiwi!!
Sikitika tu kisha uende zako kwani si wako ni wa mwenzako.
Tehe tehe tehe! Mimi sitaki uniite kaka, maana utanifanya nione aibu kukuambia yaliyo moyoni mwangu! π
...sasa si KAKA-MPENZI mazee!....ππtatizo ni kuwa enzi "hizo" nilimdondokea lakini nilimheshimu kwa sababu alikuwa ananiita sana "kaka" na sikujua kuwa na yeye ananizimia.. wazazi wetu walikuwa ni marafiki na kwa kweli tumekua pamoja. Ni mambo haya ya masomo yakatutupa mabara tofauti na kupoteana kukaja... lakini sasa...ndiyo majaribu hayo.
Kama mwenye ndoa haiheshimu ndoa yake, wasio na ndoa wanatakiwa waiheshimu... ?
...sasa si KAKA-MPENZI mazee!....ππ
hukumsoma huyo.ANA HAKI YA KUKULAUMU!
nigongee senksi basi kwa afya yako...Wewe umekuwa mtu wa kwanza kunifanya nicheke siku ya leo. Hujatulia
...sasa si KAKA-MPENZI mazee!....ππ
hukumsoma huyo.ANA HAKI YA KUKULAUMU!
u married?aisee.. i losti mai chansi! no rewaindi?
u married?
Ngoja wakukamate wenyewe utajuta kujaribu...balaa lake.
Halafu huu ujasiri wa siku hizi wa kujaribu kina dada nao kuanza kurusha ndoano mtihani kweli. Naona imeanza kukubalika maana siku hizi hamna tena aibu. Ni kupewa laivu tu uamue mwenyewe...kama ndio mroho mroho unaweza kula vitu hata visivyolika!Lol
Kwani mke wa mtu hamegeki? Kwa taarifa yako hao ndio huwaga watamu zaidi...
Kila mla vya watu na vyake huliwa. Kusudio la Mungu ni mabinti wote kuolewa wakiwa kabla bado ili muoaji ndie awe wa kwanza. Hivyo waoaji maadamu ulipooa wewe sio wa kwanza, pia kunauwezekano sio lazima wewe ndio uwe wamwisho hata kama unaheshimu ndoa yako.Yaani ukimega mke wa mtu leo,basi nakupa 120% wako pia atamegwa au anamegwa au kama hujaoa ukio atamegwa tu.
Hata vitabu vya dini vinasema hivyo.
Kila mla vya watu na vyake huliwa. Kusudio la Mungu ni mabinti wote kuolewa wakiwa kabla bado ili muoaji ndie awe wa kwanza. Hivyo waoaji maadamu ulipooa wewe sio wa kwanza, pia kunauwezekano sio lazima wewe ndio uwe wamwisho hata kama unaheshimu ndoa yako.
Lengo la kuishi ni kufurahia maisha. Live your life to the fullest. Kama umejikuta uko kwenye ndoa isiyo na furaha, yes heshimu ndoa yako, but get happiness and satisfaction where your heart belong na bado ukiheshimu ndoa yako.
..........mhhhhh!! Jamani jamani jamaniiiiiiiiiii, kwa mtindo huu sijui kama tutafika.