Mbona wasema kosa langu?

Mbona wasema kosa langu?

We nawe yaani hata kama ndo ku-read between lines wewe umezidi sijui una-read between words?

Eti kaka Masaki lol

Tehe tehe tehe! Mimi sitaki uniite kaka, maana utanifanya nione aibu kukuambia yaliyo moyoni mwangu! 🙂
 
hata akija kwako utegemee vitimbi pia, hana msimamo! akishavunja ndoa yake coz ya mwanaume mwingine utegemee lolote kwa mwanamke wa dizaini hii.
Babra hongera kwa kubatizwa dia wajua sikuwa na habari so nikawa nang'aa tu macho hapa.

Hili ni somo tosha na wengi wanajisahau.

Ninamkumbuka rafiki yangu flan aliolewaga na mtu ambaye alishinikizwa enzi hizoooo wazee wamekubaliana so watoto wakaoana. Wakati anaolewa shostito alikuwaga na bofulendi wake waliyependana sana. So wakati wa maandalizi ya arusi bofulendi akawa anamshawishi bidada akatae bahati mbay ahakuwa na ujasiri huo alikuwa muoga kupindukia so akaolewa but akawa bado anaendelea na bofulendi but after miezi kama mitano hivi akafanya vituko kwa mume (nadhani ni mbinu alopewa na jamaa yake) akadai talaka huyo akapewa. Kwa furaha akaenda kwa bofulendi ambaye baada ya muda akamtema tena kwa kumwambia kuwa kama umewezatoka kwa mumeo kwa sababu ya mwanaume mwingine nina uhakika gani kuwa kwangu hutotoka?

Ingawa ameolewa na mtu mwingine but huwa anasimuliaga kila kukicha
 
Mwanakijiji inawezekana kabisa hakuwa moyoni mwako wewe kwa sababu kama alikuwepo ni wewe ambaye ulitakiwa kuiondoa ile "kaka" aliyokuwa anakuita, ni wewe ambaye ulitakiwa kuuvunja ukimya umesahau mabinti wa enzi hizo hawakuwa na ujasiri wa kujitokeza na kung'ara kama kiwi!!

Sikitika tu kisha uende zako kwani si wako ni wa mwenzako.

Good point! Lakini pia ni vyema akina dada wakaelewa kuwa wapo wanaume tena wengi hasa katika umri mdogo ambao hawawi na ujasiri sana wa kuwasilisha hoja. Na wakiwekewa kikwazo kidogo tu basi husita. Hapo nadhani kama kweli msichana amevutiwa na mvulana basi angalau awe na namna anayoweza kufanya kazi ya ziada kufikisha ujumbe au kumpa hamasa jamaa afikishe ujumbe bila kutoka jasho sana. Ni bora sasa tuachane na gender stereotypes ili kuwapa mabinti nao fursa za kurusha kete roho inapotakata badala ya kushangaa treni lishapita. Mambo ya usawa haya, sivyo?
icon10.gif
 
Tehe tehe tehe! Mimi sitaki uniite kaka, maana utanifanya nione aibu kukuambia yaliyo moyoni mwangu! 🙂

Haya Masaki.

Unachelea nisijekulalamikia kama mwanakijiji? mie sie wa enzi zileee
 
tatizo ni kuwa enzi "hizo" nilimdondokea lakini nilimheshimu kwa sababu alikuwa ananiita sana "kaka" na sikujua kuwa na yeye ananizimia.. wazazi wetu walikuwa ni marafiki na kwa kweli tumekua pamoja. Ni mambo haya ya masomo yakatutupa mabara tofauti na kupoteana kukaja... lakini sasa...ndiyo majaribu hayo.

Kama mwenye ndoa haiheshimu ndoa yake, wasio na ndoa wanatakiwa waiheshimu... ?
...sasa si KAKA-MPENZI mazee!....😀😀
hukumsoma huyo.ANA HAKI YA KUKULAUMU!
 
Kuna mwanaume na mwanamke walikuwa wanaitana kaka na dada kumbe wanamegana kwa maana hiyo kaka na dada ni wapenzi kama ilivyo kwako mama mpenzi.
 
Mzee Mwanakijiji
robot_16.png
user_online.gif

Mzee Mwanakijiji I'm missing someone in my life
JF Premium Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png

......😀😀
you should have told her
 
Ngoja wakukamate wenyewe utajuta kujaribu...balaa lake.

Hatakiwi kukamatwa huyo, anatakiwa kumegewa live wa kwake huku akirekodiwa alafu unamsendia kwenye cm yake kama clip!!!! Hapo ndo atakapojua utamu wa wake za watu kiuhalisia!!
 
Halafu huu ujasiri wa siku hizi wa kujaribu kina dada nao kuanza kurusha ndoano mtihani kweli. Naona imeanza kukubalika maana siku hizi hamna tena aibu. Ni kupewa laivu tu uamue mwenyewe...kama ndio mroho mroho unaweza kula vitu hata visivyolika!Lol
 
Halafu huu ujasiri wa siku hizi wa kujaribu kina dada nao kuanza kurusha ndoano mtihani kweli. Naona imeanza kukubalika maana siku hizi hamna tena aibu. Ni kupewa laivu tu uamue mwenyewe...kama ndio mroho mroho unaweza kula vitu hata visivyolika!Lol

Kwa nini ule visivyolika? we angalia tu tunda wanalokula ndege, hilo linalika. Lakini usiibe shambani kwa mwenzako, utapigwa mshale wa sumu.
Sasa kwa nyinyi mabubu msaidiweje?

Tunda zuri ni lile unalopanda na unalolimwagilia(mmea) mwenyewe, siku hizi sumu tupu, vya watu sumu.
 
Kama huyo dada hakuwa na huo ujasiri wa kusema huko nyuma, ni vyema akaendelea na ujasiri huo huo. Leo akitaka kusema atakuwa anataka kuumiza watu wawili. Mumewe na MMJ. Kwa maoni yangu hilo si jingine bali ubinafsi na kupenda kuona watu wanasonononeka juu yake.
Ingekuwa vyote tuvitakavyo tunapewa basi dunia na maisha yangekuwa poa, lakini sivyo. Mtaka yote hukosa yote.
Hivyo ajifunze tu kuona uzuri na mazuri kwa huyo mumewe.
 
Kwani mke wa mtu hamegeki? Kwa taarifa yako hao ndio huwaga watamu zaidi...

Sio utamu tu hawana multiple partners yaani ni wewe tu baada ya mume hahahahaaaaaaaa! wake za watu angalia mtakuja kunatiana kiwe kituko cha mwaka 2010
 
Yaani ukimega mke wa mtu leo,basi nakupa 120% wako pia atamegwa au anamegwa au kama hujaoa ukio atamegwa tu.
Hata vitabu vya dini vinasema hivyo.
Kila mla vya watu na vyake huliwa. Kusudio la Mungu ni mabinti wote kuolewa wakiwa kabla bado ili muoaji ndie awe wa kwanza. Hivyo waoaji maadamu ulipooa wewe sio wa kwanza, pia kunauwezekano sio lazima wewe ndio uwe wamwisho hata kama unaheshimu ndoa yako.

Lengo la kuishi ni kufurahia maisha. Live your life to the fullest. Kama umejikuta uko kwenye ndoa isiyo na furaha, yes heshimu ndoa yako, but get happiness and satisfaction where your heart belong na bado ukiheshimu ndoa yako.
 
Kila mla vya watu na vyake huliwa. Kusudio la Mungu ni mabinti wote kuolewa wakiwa kabla bado ili muoaji ndie awe wa kwanza. Hivyo waoaji maadamu ulipooa wewe sio wa kwanza, pia kunauwezekano sio lazima wewe ndio uwe wamwisho hata kama unaheshimu ndoa yako.

Lengo la kuishi ni kufurahia maisha. Live your life to the fullest. Kama umejikuta uko kwenye ndoa isiyo na furaha, yes heshimu ndoa yako, but get happiness and satisfaction where your heart belong na bado ukiheshimu ndoa yako.


wasema kweli? unamanisha watu watoke nje ya ndoa zao kama hakuna faraja ndani ya ndoa?
mi nafikiri kuna haja ya kuwa na ndoa za mikataba sasa, au mwaonaje jamani?
 
Back
Top Bottom