Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa umeolewa na una mme unayesema unampenda. Tumekutana baada ya miaka hii yote. Tulikuwa marafiki wa karibu hadi watu "walidhania". Sasa tumekutana unanilaumu.. kwanini sikukuomba moyo wako. Umesahau kuwa ni wewe uliyekuwa ukiniita "kaka"..? Leo wanilaumu wadai kuwa ulikuwa unasubiri nikuombe....
sijui nilie, nicheke, au nisikitike?
Huyo anataka Kumegwa!!!MM ebu mmege kiuraini kama unanawa!!!!
wasema kweli? unamanisha watu watoke nje ya ndoa zao kama hakuna faraja ndani ya ndoa?
mi nafikiri kuna haja ya kuwa na ndoa za mikataba sasa, au mwaonaje jamani?
u married?
hahahahaha!nimecheka hadi maji yamenipalia.hata hivyo i won't believe kwamba wewe ni "domoNope!!!