Mbona Watoto wa Mghaibuni Mpinzani wa Marekani hawana tofauti na hawa wetu wa Uswahilini?

Mbona Watoto wa Mghaibuni Mpinzani wa Marekani hawana tofauti na hawa wetu wa Uswahilini?

Sasa kipi hasa alichoongea chenye faida kwa nchi?

Kama yeye kweli anajifanya anajua siri za nchi alete mikataba ya madini tuione hapo hata mm ntaanza kumuona wa maana.

Vinginevyo aendelee kula vumbi huko usa
Wewe na yeye nani anakula vumbi mkuu?

kwa taarifa tu hata hao watu wa CCM wanamfollow ndiyo ujue anaongea vingapi vina faida.

Au umesahau mara ngapi anaongea vitu mpaka serikali inabidi ikanushe.
 
Kwahili la nguo kumuonesha ndio mtu anaishije.. mmmh basi Mark Zuckerberg na Bill Gates itakua siwasomi vizuri...mmmh napita tuu.

Hivi Nguo za hao akina Mark Zuckerberg na Bill Gates zinafanana na za Watoto wa Mghaibuni Mpinzani aliyeko Marekani?
 
Wewe na yeye nani anakula vumbi mkuu?

kwa taarifa tu hata hao watu wa CCM wanamfollow ndiyo ujue anaongea vingapi vina faida.

Au umesahau mara ngapi anaongea vitu mpaka serikali inabidi ikanushe.

Weka mifano ya mambo ambayo amewahi kusema na Serikali ikakanusha. Hivi si ndiyo huyu huyu Majuzi hapa alituambia kuwa Katibu Mkuu wa CCM Mzee Kinana kajiuzuru na kaenda zake kupumzika Kwake huko Arusha? Sasa ilikuwaje tena baada ya Mghaibuni Mpinzani kutulisha hilo tango pori lake kama leo Kesho yake tukamwona Mzee Kinana na Dogo Polepole wakiwa Ziarani nchini Angola kama siyo Botswana?

Halafu alivyo Mnafiki baada ya kugundua kuwa kalishwa tango pori na pia kawalisheni Wafuasi wake matango pori wala hakukanusha au kuwaombeni radhi Wadau wake na badala yake bado tu anazidi kuwadanganyeni huku Watoto wake wakiendelea tu kukauka midomo kwa njaa, kuvaa Nguo zilizovubaa na Kukondeana.

Masters yake isiishie tu kutajwa tajwa midomoni na yeye kila mara bali aitumie hiyo Masters Degree yake kuimarisha welfare za Watoto wake ambao kiukweli wanatia sana huruma na wanaonekana wanataabika mno na maisha yale kuliko hata sisi tuliopo Bongo Land na wenye Watoto wetu ambao kila uchao afya zao zinazidi tu kuwa nzuri, wana furaha na amani tele.
 
Hivi Nguo za hao akina Mark Zuckerberg na Bill Gates zinafanana na za Watoto wa Mghaibuni Mpinzani aliyeko Marekani?
Hazifanani

Ila ukweli ni kwamba yule tajiri wa facebook ni mpenzi wa nguo zenye rangi moja inayofanana, so kila unapomuna unaweza ukahisi jamaa huwa habadilishi nguo.

Kuna msemo usemao, the aim is to be rich not to appear rich.

Nchi za watu maskini kama Tanzania, mafanikio ya mtu tunayapima kwa muonekane wake au mavazi yako,akionekana kila siku anavaa sandals za kimasai basi tayari huyo anaonekana ni mlalahoi.

We have a long way to go fellas
 
Kwahili la nguo kumuonesha ndio mtu anaishije.. mmmh basi Mark Zuckerberg na Bill Gates itakua siwasomi vizuri...mmmh napita tuu.
Nashangaa na wewe, kha jamaa hana akili anafikiri akivaa Gucci, LV, ndo ana hela kumbe account yake hata Milion tano za ktz hana. Mark sijawahi muona kavaa nguo zenye majina, ila ni billionea tena wa $
 
Wewe huna akili, umeona Pamba ndo jambo mali sana kwako, kwa taarifa yako marekani nguo na vyakula siyo big deal kuna ma charity associations yanagawa vyakula, nguo bure.
Unajua watu wanaoishi kwenye mazingira duni ndio wanaochukulia suala la kuvaa nguo nzuri kama mbadala kuficha hali zao za kimaskini, mleta hoja akiwa mmoja wao na ndio maana waafrika wanakazana kupendeza nje hata kama ana hali ngumu. Mtu hana kazi lakini anataka kumiliki matoleo ya kisasa ya iPhone & samsung galaxy pindi yanapotoka wakati matajiri wanatumia nokia tochi!
 
Mkuu Genta,
Dada zetu wanababaikia rangi nyeupe tena hata vile vizee vinavyokaribia kustaafu kubeba maboksi ambavyo vimepata one time contract in Africa mwishowe ndio hayo yanatokea. Hakuna cha maana zaidi ya kupata watoto mulattoes na kuwa wajane.
 
Unajua haya mambo ya kuvaa sijui pamba ni africa tu, mabara ya wenzetu wenye kujielewa Europe na Asia.. kuvaa sio big deal maana nguo kule zauzwa bei ya maandazi kwa bongo..summer ikiisha kuna sale na winter ikiisha kuna sale pia...nguo sio big deal kabisa .
 
Unajua watu wanaoishi kwenye mazingira duni ndio wanaochukulia suala la kuvaa nguo nzuri kama mbadala kuficha hali zao za kimaskini, mleta hoja akiwa mmoja wao na ndio maana waafrika wanakazana kupendeza nje hata kama ana hali ngumu. Mtu hana kazi lakini anataka kumiliki matoleo ya kisasa ya iPhone & samsung galaxy pindi yanapotoka wakati matajiri wanatumia nokia tochi!
Kwa Waafrika kupenda maisha ya show off ni tabia ya kuzaliwa nayo nahisi.
 
Kwa nchi kama MAREKANI showoff Za Mavazi,Viatu,Mapombe ya Bei Kali ni kwa macelebrety,Akina meekmill,Dj khaled tena nao wana hizo showoff kwasababu wengi wao wanalipwa na makampuni ..watu wenye kipato cha juu nguo kwa sio Big deal kama uku kwetu.. Mkuu GENTAMYCINE hapa Umeongea Kitu usicho kijua
 
Back
Top Bottom