Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Sijui watoto wake wanavaa nini lakini najua yeye anasimamia nini. Ni yeye aliyesimama peke yake kuishutumu CHADEMA kumweka Lowassa kama mgombea wao kwenye uchaguzi wa mwaka 2015, CCM walishangalia sana.
Lakni leo wakati watu wote wanaogopa kusema wazi wazi hisia na mawazo yao kuhusu utawala wa Rais Magufuli, yeye huyu huyu mwenye watoto wanaovaa nguo kuu kuu ndiye anayesema yale wengine wanaogopa kusema hadharani na kwa uwezi!!