Mbona Watoto wa Mghaibuni Mpinzani wa Marekani hawana tofauti na hawa wetu wa Uswahilini?

Mbona Watoto wa Mghaibuni Mpinzani wa Marekani hawana tofauti na hawa wetu wa Uswahilini?

Sijui watoto wake wanavaa nini lakini najua yeye anasimamia nini. Ni yeye aliyesimama peke yake kuishutumu CHADEMA kumweka Lowassa kama mgombea wao kwenye uchaguzi wa mwaka 2015, CCM walishangalia sana.

Lakni leo wakati watu wote wanaogopa kusema wazi wazi hisia na mawazo yao kuhusu utawala wa Rais Magufuli, yeye huyu huyu mwenye watoto wanaovaa nguo kuu kuu ndiye anayesema yale wengine wanaogopa kusema hadharani na kwa uwezi!!
 
Unajua watu wanaoishi kwenye mazingira duni ndio wanaochukulia suala la kuvaa nguo nzuri kama mbadala kuficha hali zao za kimaskini, mleta hoja akiwa mmoja wao na ndio maana waafrika wanakazana kupendeza nje hata kama ana hali ngumu. Mtu hana kazi lakini anataka kumiliki matoleo ya kisasa ya iPhone & samsung galaxy pindi yanapotoka wakati matajiri wanatumia nokia tochi!

Shikamoo Mkuu. Ukiona GENTAMYCINE anakuandikia hivi jua Dongo ulilonipa limeniingia barabara. Huwa napenda sana Watu wanaoujua Kufikiiri halafu wananipa Makavu yangu kisawasawa kama Wewe. Narudia tena kusema Shikamoo Mkuu ama hakika post yako hii imeniweza na ni kama vile umenipa Ngumi moja ya Kutukuka ya Knockout.
 
Mkuu Genta,
Dada zetu wanababaikia rangi nyeupe tena hata vile vizee vinavyokaribia kustaafu kubeba maboksi ambavyo vimepata one time contract in Africa mwishowe ndio hayo yanatokea. Hakuna cha maana zaidi ya kupata watoto mulattoes na kuwa wajane.

Swadakta.
 
Yule ni single mother. Labda angejitahidi akasomea unesi kidogo inalipa kwa marekani. Lakini kimaisha ana taabika.

Moja ya kitu dada zetu hawajakijua kuolewa na mzungu sio tiketi ya maisha bora. Wazungu wako very strategic. Wapi wazungu wanachoma watoto wao na nyumba ili walipwe insurance. Mghaibuni maisha yameshampiga na nchi za wazungu si sehemu ya kuzeekea uzee wako haswa unapokuwa mweusi .
 
Asante kwa kuipitia pia. Kama ni Watoto wako hebu jitahidi uwapigishe basi Pamba kwani hata Mimi wangu wa Tandale na Tandika wanawazidi wa Kwako kwa kupiga Pamba za maana japo ni za Karume. au huko Marekani ulipo Sheria yao ni kwamba Watoto wanatakiwa wavae Nguo hizo hizo mwezi mzima?
Si ndio amepitisha bakuli la mchango kwa Watanzania jamani! Nahisi akili zimemruka huyu dada (kwa kuwaza kuwa ataishi kwa njia hiyo ya michango bila kufanya kazi). Kujitapa kote kule kuwa yeye tajiri sijui katokea familia ya kitajiri, ila sasa anaomba omba achangiwe.!! Kweli Mungu ni wa kuogopwa sana. Kwisha habari yake, imebaki story tu.
 
Mavazi ni jambo la kawaida sana, naweza sema mleta mada ana tatizo la afya ya akili juu ya uchambuzi lipi ni muhimu kuliko lingine
 
Si ndio amepitisha bakuli la mchango kwa Watanzania jamani! Nahisi akili zimemruka huyu dada (kwa kuwaza kuwa ataishi kwa njia hiyo ya michango bila kufanya kazi). Kujitapa kote kule kuwa yeye tajiri sijui katokea familia ya kitajiri, ila sasa anaomba omba achangiwe.!! Kweli Mungu ni wa kuogopwa sana. Kwisha habari yake, imebaki story tu.

Masters Degree ya mdomoni na si ya Kiutendaji. Hivi maisha ya leo kweli kwa jinsi Mitanzania ilivyosoma Mtu unaweza kweli ukatapa kila mara kuwa unamiliki Masters Degree? Hapa ndipo nilipoanza kumdharau Mghaibuni Mpinzani na hadi kumuona ni Bonge la Mshamba.
 
Wewe ni mmoja wa Watu wenye akili na kujua kufikiri vizuri humu JF na ambao huwa nawahitaji mno ili tuweze kuwafundisha wengine MAPOPOMA jinsi ya kufikiri na kuwa na mtazamo wa mbali. Mkuu yote uliyoyasema hapa ni kweli mtupu kwani Mghaibuni Mpinzani anaonekana huko Mamtoni / Marekani anaishi kama Wakimbizi waliokuwa Nyarugusu. Muonekano tu wa Watoto wake unakupa jibu kamili kuwa Mama yao anataabika mno japo kila mara anatutambia na ka Masters Degree kake ambako hata sikaoni anakatumiaje.

Napenda sana Thinkers wa Kutukuka kama Wewe Mkuu. Safi sana na nakukubali mno.
mwanaume mwenzangu chondechonde acha kutetea ujinga mtaja vishwa shanga kiunoni......
 
eti watoto wana njaa ina maana we ukuaji wa watoto huujui

Watoto huwa hawakui kidhiki dhiki vile Mkuu. Mwambieni tu arudi Bongo angalau Watoto wake sasa waanze kuzoea Viazi vyetu Mbatata na Matembele ili angalau waanze kuonekana na afya bora. Mtu unakaa Marekani halafu Watoto kuvaa hawajui, afya hawana na Mama mtu hana dira.
 
Back
Top Bottom