Wewe na yeye nani anakula vumbi mkuu?Sasa kipi hasa alichoongea chenye faida kwa nchi?
Kama yeye kweli anajifanya anajua siri za nchi alete mikataba ya madini tuione hapo hata mm ntaanza kumuona wa maana.
Vinginevyo aendelee kula vumbi huko usa
Kwahili la nguo kumuonesha ndio mtu anaishije.. mmmh basi Mark Zuckerberg na Bill Gates itakua siwasomi vizuri...mmmh napita tuu.
Wewe na yeye nani anakula vumbi mkuu?
kwa taarifa tu hata hao watu wa CCM wanamfollow ndiyo ujue anaongea vingapi vina faida.
Au umesahau mara ngapi anaongea vitu mpaka serikali inabidi ikanushe.
HazifananiHivi Nguo za hao akina Mark Zuckerberg na Bill Gates zinafanana na za Watoto wa Mghaibuni Mpinzani aliyeko Marekani?
Hujanielewa naona !!Hivi Nguo za hao akina Mark Zuckerberg na Bill Gates zinafanana na za Watoto wa Mghaibuni Mpinzani aliyeko Marekani?
Nashangaa na wewe, kha jamaa hana akili anafikiri akivaa Gucci, LV, ndo ana hela kumbe account yake hata Milion tano za ktz hana. Mark sijawahi muona kavaa nguo zenye majina, ila ni billionea tena wa $Kwahili la nguo kumuonesha ndio mtu anaishije.. mmmh basi Mark Zuckerberg na Bill Gates itakua siwasomi vizuri...mmmh napita tuu.
Unajua watu wanaoishi kwenye mazingira duni ndio wanaochukulia suala la kuvaa nguo nzuri kama mbadala kuficha hali zao za kimaskini, mleta hoja akiwa mmoja wao na ndio maana waafrika wanakazana kupendeza nje hata kama ana hali ngumu. Mtu hana kazi lakini anataka kumiliki matoleo ya kisasa ya iPhone & samsung galaxy pindi yanapotoka wakati matajiri wanatumia nokia tochi!Wewe huna akili, umeona Pamba ndo jambo mali sana kwako, kwa taarifa yako marekani nguo na vyakula siyo big deal kuna ma charity associations yanagawa vyakula, nguo bure.
Kwa Waafrika kupenda maisha ya show off ni tabia ya kuzaliwa nayo nahisi.Unajua watu wanaoishi kwenye mazingira duni ndio wanaochukulia suala la kuvaa nguo nzuri kama mbadala kuficha hali zao za kimaskini, mleta hoja akiwa mmoja wao na ndio maana waafrika wanakazana kupendeza nje hata kama ana hali ngumu. Mtu hana kazi lakini anataka kumiliki matoleo ya kisasa ya iPhone & samsung galaxy pindi yanapotoka wakati matajiri wanatumia nokia tochi!
Sidhani kama watoto wao wamekula. Wanadiscuss watoto wa watuMmekula lakini?
Wewe unajivunia nguo, jiulize ukifa leo wanao watasomeshwa na hizo nguo, mwenzako wanae wana lifeinsurance hata akifa leo wanae watapata basic needs. Wanao watakula na kusomeshwa na hizo pamba unazojidaia.