Uchambuzi mzuri.mimi ni mshabiki mkubwa wa huyu mtanga mwenzangu kutoka pale mwakizaro hassan mwakinyo ,kiukweli pambano litakua zuri ila sidhani kama mwakinyo atamaliza round ya 4 ,nadhani atakua ameshakalishwa na dillah mbabe .ila hili pambano ni vigumu sana kutokea, kwanza mwakinyo ana uzito mdogo zaidi ya dulla.dula ana 74 mpaka 78 mwakinyo ana 68-70.
pia mwakinyo atahitaji pesa nyingi sana ambazo sidhani kama kuna promota wa tanzania atakayeweza kumudu naye atengeneze faida
PR ya Dula ina shida.Wanamtangaza sana Mwakinyo utadhani ni pekeyake anafanya boxing tz, yaani hilo pambano lake lijalo wanalitangaza kilasiku kwenye vipindi vya michezo utadhani anacheza na mtu wa maana kumbe anacheza na journeyman wa ufilipino mwenye loss 24[emoji30], juzijuzi Dulla Mbabe kapata pambano kubwa na Rocky Fielding lakini sikusikia akitangazwa kabisa sasa sijui watangazaji hawana taarifa au nini?
mpaka avute b.nge
Kwani mwqkinyo amekuambia yy ni mbabe hapa bongo ?Watuletee pambano hili tumtambue mbabe wa ndondi Tanzania
huyo mwakinyo hana hadhi ya kuwa top hapa nchini, ilitakiwa athibitishe kwa kuchakaza mabondia wote ndio atangazwe
Dullar mbabe amepigwa na twaha kidukuWatuletee pambano hili tumtambue mbabe wa ndondi Tanzania
huyo mwakinyo hana hadhi ya kuwa top hapa nchini, ilitakiwa athibitishe kwa kuchakaza mabondia wote ndio atangazwe
Pia akili yake sijui kama iko sawa, hebu jaribu kuangalia mambo aliyokuwa anafanya baada ya kuisha pambano hili, aibu nimeona mimi, sijui nini kilimfurahisha hivi, kupigana na mzungu au?[emoji3][emoji3]PR ya Dula ina shida.
Shida nyingine Dula anajitreat kama bado chipukizi wa Keko yaani ana attitude ya 'I do it for my hood' kwahiyo anaona watu wajue wasijue yeye sawa tu kikubwa hood yake inamkubali.
Binafsi nilifikiri Dula atakua mapinduzi ya boxing Tanzania, baada ya Matumla.
Wanamtangaza sana Mwakinyo utadhani ni pekeyake anafanya boxing tz, yaani hilo pambano lake lijalo wanalitangaza kilasiku kwenye vipindi vya michezo utadhani anacheza na mtu wa maana kumbe anacheza na journeyman wa ufilipino mwenye loss 24[emoji30], juzijuzi Dulla Mbabe kapata pambano kubwa na Rocky Fielding lakini sikusikia akitangazwa kabisa sasa sijui watangazaji hawana taarifa au nini?
Tofauti ya uzito sio kubwa, hivi majuzi Canelo alipanda kutoka Middleweight kwenda Light Heavyweight kupigana na KovalevUchambuzi mzuri.
Hakuna pambano
Uzito tofauti sana
Bazazi
Nimempenda dulla anaonekana yuko humble na anapenda mchezo wa ngumi....mapambano yake full freestyle ndani yake.
Pambano la kwanza la Mashali (marehemu) na Dulla lilikua Mwin'juma pale Mashali alipigwa mpaka akavunjwa taya. Kichekesho? Majaji wakavunja pambano.
Uliona Cheka alivyoangushwa na Dulla?
Mwakinyo sijabahatika kuangalia mapambano yake zaidi ya highlights hivyo siwezi sense juu ya weaknesses au strengths zake akiwa ulingoni.
NI WIVU TUUU. (In Gwajiboy's voice)[emoji4][emoji4]Watuletee pambano hili tumtambue mbabe wa ndondi Tanzania
huyo mwakinyo hana hadhi ya kuwa top hapa nchini, ilitakiwa athibitishe kwa kuchakaza mabondia wote ndio atangazwe
Thubutuuuu! Nani wa kumshinda bondia wa viti maalum?
Dulla Mbabe atashinda kiuwepesi sana hili pambano.habari wandugu,
nafikiri now ni time ya hawa wanamasumbwi ambao wanafanya vzr, watoane jasho ulingoni, tujue nani ni nani maana wakina cheka ndo hvy washapotea,
mapromota tupieni jicho kwenye hili..naamini litakuwa pambano zuri sn View attachment 1067103View attachment 1067104
Sent using Jamii Forums mobile app