Ndio maana nimemchana huko juu,haelewekiKwani mkuu unazungumzia Toyota au Passo 😂😂😂😂
Msinirekebishe nafahamu.
Kwani mkuu unazungumzia Toyota au Passo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msinirekebishe nafahamu.
Jamaa ameanzisha mjadala wa kitoto alafu mambo ya Magari hayajui ilimradi ameandika ili apime comments zetuNani anabeza toyota?naona kama unaongea mwenyewe..hoja yako dhaifu sana,haieleweki na hujui magari.
Brand za Toyota zipo Marekani na zinapendwa balaa kutokana na uimara wake. Mfano, Toyota Corolla, IST, Camry, Kluger aka Highlander, Surf aka 4Runner na nyingine kibao tu.Hilo gari achana nalo hadi ulaya na USA yapo sana sio kama yale mengne ni nadra sana kukuta crown london..
Mwenye passo atajilinganisha na mwenye Nissan March/micra.Mwenyeuzi nadhani kuna kitu hakijakaa sawa..
Watanzania kuwatenganisha na toyota ni sawa na kuwatenga na chama cha mapinduzi... never..
Ungesema wamiliki wa Toyota wanayaponda magari mengine hapo ungeeleweka....
Usishangae mwenye Passo akajitunisha kuliko mwenye Foresta,Grand Vitara au Murano kisa passo yake ni Toyota.
Zinazopondwa ni hiziKuna magari aina ya Toyota lakini Yana nguvu na speed sana. Mfano, Toyota landcruiser V8 lina nguvu imara na speed Sana BMW akasome , Subaru zote hapa zinakaa keti kwa huu mnyama.
Lakini kumekuwa na hulka ya watu kuponda magari aina ya Toyota sijui kwanini.
Kwaio una Nissan X trail au?Namshukuru Mungu, tangu nizaliwe sijawahi miliki gari ya Toyota.. Mimi ni anti Toyota.. Sana sana ni mpenzi mkubwa wa magari ya Nissan.