Mbona watu wanaoonekana wakarimu ndio wabaya zaidi?

NairobiWalker

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
14,267
Reaction score
14,890
This comes after someone opened a thread criticizing Kenyans for their directness in speech and praising Tanzanians for their politeness. It reminded me of something in life. Most of the people I meet who appear so kind and polite always turn out to be the most hateful snitches ever. The real guys however who come direct and won't hide behind niceties turn out to be the best people for both business and hanging out. This phenomenon explains he difference between our two countries and especially their leadership. In Tanzania, the leaders and their niceties have convinced the population that they have the best leaders in the world while the average Kenyan believes Kenya has the worst leaders in the world. Meanwhile, the 'bad' Kenyan leaders have managed to grow a bigger economy using less resources than the 'good' leaders from Tanzania.
 
Waogope sana viumbe wa sampuli hiyo. Mtu anajitwika ustaarabu wa sayari nyingine akiwa mbele ya watu, hadi kwenye style yake ya kutembea. Utasikia naomba ndugu yangu, jamani jirani naomba. Kidogo kidogo ndio huyooo amekimbia kwa wachawi kukuroga, eti kwasababu umejenga nyumba ya kifahari, kubwa zaidi ya nyumba yake na eti umenunua gari jipya.
 
Kweli kabisa.
 
NairobiWalker,
Hahahaha, Capitalism is the worst think to think in Africa, Latin America, Asia and Carribean to say the less.

Good leader has got very little to do with Economy. A best parent, a best friend, best jirani, best teacher not the same as richest.

Kenya you need to be a civilized people not people who don't care anything apart from money. Many Kenyans, Ugandans, Rwandans, DRC, and Other countries wish to visit and stay in Tanzania, not because Tanzania is the richest country but because of peace, love, social integration, Equality, justice and inclusiveness.

Nyerere is loved and respected by every African and throughout the globe, while Mzee Jommo Kenyatta really is mentioned even in Kenya, not because Nyerere created worth in Tanzania, but because he created strong Nation which cares much for humility not economy.
 
Waogope sana viumbe wa sampuli hiyo. Mtu anajitwika ustaarabu wa sayari nyingine akiwa mbele ya watu, hadi kwenye style yake ya kutembea. Utasikia naomba ndugu yangu, jamani jirani naomba. Kidogo kidogo ndio huyooo amekimbia kwa wachawi kukuroga, eti kwasababu umejenga nyumba ya kifahari, kubwa zaidi ya nyumba yake na eti umenunua gari jipya.
Mtu yeyote anayeamini kwamba unaweza kurogwa na ukadhurika kweli, " that person is one among the primitive person,", mawazo ya kuzungumzia uchawi yanaendana sana na ukabila.

Education is a vaccine against social and primitive myths like "Uchawi". Ukiona mtu amesoma lakini bado anatajataja uchawi, na anautaja kuonyesha kwamba uchawi unaweza kumdhuru mtu au kumsaidia MTU, jua shule alienda kupoteza muda wake.
 
So in your life you have met polite people who're hateful and snitches, what kind of a person are you?

Alafu nani kakwambia kusema naomba ni upole and kindness.
Its just a culture here, haina uhusiano na upole wala kindness, kuna majambazi yananunua silaha dukani na yanasema naomba panga alafu SAA kadhaa yanaenda kuua mtu na kupora.

Ila we jamaa ni fara sana, ukatafakari, ukaamua kufungua thread kabisa.
 
Tulia ikuingie wewe, wanafiki wengi ndo wanaedeleza uchawi..
Kwetu ukibugi unapewa zako halafu utacheki mwenywe km utarekebika au la!!

Si eti mtu kila siku tukikutana unajotia ukarimu kumbe nyuma ya pazia una roga
 
Ungelisema tu ya kwamba hilo neno mnalitumia kinafiki...
Kw kusengenya na umbea hamajambo, mkenya akiwa bongo kitaani hamuachi kumsengenya, mara huyu "yule kaja hku kufanyaje!! Ana vibali kweli!! Atakua jambazi, tena kw mjumbe kafika kweli, au mkimbizi"...wakati mtanzania akiwa nje ya nchi hakuna anayemtatiza

Halafu utakuta mmoja alikua nao wakati wakikusengenya, akitoka hapo anakuja kukupa data zote[emoji1787][emoji1787][emoji1787](mmbea)...

Mnakwama wapi, karne hii unajisumbua ba maisha ya watu
 
NairobiWalker, mfano mzuri ni huyu aliyeandika hii comment hapa juu. Kwenye hii mada ametokelezea kiukarimu kupindukia ila soma comment na nyuzi zake zingine kwenye jukwaa hili. Full matusi, chuki na roho nyeusi, kama nta ya kanuba, hata kwenye mada simple ambazo hazihitaji ugomvi. Sidhani ukarimu ni kusema kwamba mimi au sisi ni wakarimu. Ukarimu na ustaarabu pia unatoka ndani kwenye mioyo na nafsi za watu na kwa nje huwa zinajidhihirisha kwa matendo sio maneno.
 
Tulia ikuingie wewe, wanafiki wengi ndo wanaedeleza uchawi..
Kwetu ukibugi unapewa zako halafu utacheki mwenywe km utarekebika au la!!

Si eti mtu kila siku tukikutana unajotia ukarimu kumbe nyuma ya pazia una roga
Ninarudia, mtu yeyote anayetajataja uchawi, tena anautaja kuonyesha kwamba uchawi unaweza kumdhuru au kusaidia, huyo mtu ni very "Primitive".
 
NairobiWalker, mfano mzuri ni huyu aliyeandika hii comment hapa juu. Kwenye hii mada ametokelezea kiukarimu kupindukia ila soma comment na nyuzi zake zingine kwenye jukwaa hili. Full matusi, chuki na roho nyeusi, kama nta ya kanuba, hata kwenye mada simple ambazo hazihitaji ugomvi. Sidhani ukarimu ni kusema kwamba mimi au sisi ni wakarimu. Ukarimu na ustaarabu pia unatoka ndani kwenye mioyo na nafsi za watu na kwa nje huwa zinajidhihirisha kwa matendo sio maneno.
Hahahaha, hahahaha
 
Mtu yeyote anayeamini kwamba unaweza kurogwa na ukadhurika kweli, " that person is one among the primitive person,", mawazo ya kuzungumzia uchawi yanaendana sana na ukabila.

Education is a vaccine against social and primitive myths like "Uchawi". Ukiona mtu amesoma lakini bado anatajataja uchawi, na anautaja kuonyesha kwamba uchawi unaweza kumdhuru mtu au kumsaidia MTU, jua shule alienda kupoteza muda wake.
This is irony coming from a Tanzanian.
_47648534_africa_religion3_466.gif
 
joto la jiwe,

I think something is wrong with you if you believe good leaders shouldn't strive to give their citizens a decent standard of living. It is stupid to claim you are civilized while you still kill albinos because you believe their flesh has some magical powers. Please, bring us statistics of people visiting Tanzania and compare with those visiting Kenya before you state those stupid statements........FYI, Kenya has hosted the most refugees of all African countries. Kenya has the highest number of South Sudanese, Somalis et al living here. We have Rwandese, Congolese, Burundians living here even though we don't share borders with them. Those Congolese musicians you love (e.g Madilu, Mbilia Bel et al) have all lived in Kenya and found refuge in Kenya. Shut your mouth.
 
NairobiWalker,
Hahahaha, wewe ni hovyo kabisa, ulitaka msomali anayekimbia vita Somalia aende wapi?, ulitaka raia wanaokimbia vita South Sudan, wakimbilie wapi kama sio nchi jirani za Uganda, Kenya na Ethiopia?.

Mkimbizi huwa hachagui nchi kwa mapenzi yake, yeye analazimika, kama ambavyo wakimbizi toka Burundi, DRC na Rwanda wanavyoingia Tanzania," that is not by choice".

But when you ask people in Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, and DRC, which Country in EAC would like to visit and to stay for long time, Tanzania is the choice of majority.

Hizi social media ni njia nzuri na haraka ya kuweza kujua kipi kilichopo katika akili za wananchi wengi. Ukisoma "comments" nyingi za wananchi wa mataifa hayo niliyoyataja, 80% ya wananchi wa nchi hizo wanapenda kuja kuishi Tanzania, wakiongozwa na wakenya, kama unabisha nikuleteee ushahidi wa clips za You tube, Facebook, Instagram, uone jinsi wakenya wanavyosema kuhusu Tanzania
 
When did you ask this people that question when you've never left Tandale? 😅 😅 😅 😅 You are an expert of unprovable claims. You are a dreamer.
 
Back
Top Bottom