Mbona watu wanaoonekana wakarimu ndio wabaya zaidi?

It's called being real.
Kumuita mtu "Mshenzi", hadharani tena kiongozi ndio " real"?, unaweza kumuita mzazi wako "Mshenzi"?. Karibuni Tanzania tuwafundishe " Politeness ". Hata kama unekasirika, lazima mjifunze jinsi ya kudhibiti " emotions".
 
eti reality......You're talking to people that suffer from "The Allegory of CCM". The reality they have been subjected to is warped by CCM propaganda.
Hata kuwachoma watu ndani ya makanisa pia ni "real".
 
Kumuita mtu "Mshenzi", hadharani tena kiongozi ndio " real"?, unaweza kumuita mzazi wako "Mshenzi"?. Karibuni Tanzania tuwafundishe " Politeness ". Hata kama unekasirika, lazima mjifunze jinsi ya kudhibiti " emotions".
Tuambie hiyo 'politeness' yenu imewafikisha wapi?
 
Back
Top Bottom