Mbona watu wanaoonekana wakarimu ndio wabaya zaidi?

Siamini huo upuuzi, na hata kwa maisha yangu yote sijaona mganga/mchawi kwa macho yangu mawili. Ila naamini kwamba mtu anayewafata washirikina ili awa'roge' wenzake kwasababu wamemzidi kwa njia moja au nyingine sio mtu mkarimu wala mstaarabu hata kidogo. Tumeelewana wewe mvaa hirizi?
 
Ninarudia, mtu yeyote anayetajataja uchawi, tena anautaja kuonyesha kwamba uchawi unaweza kumdhuru au kusaidia, huyo mtu ni very "Primitive".
Hata ukajifanya muungwana vipi, ukwel tutausema...
Punguzeni kurogana, manake kuacha hilo hamtoweza
 
Kwao kila kitu ushirikina...mziki, utajiri, mpira, siasa
 
Hizo ni hadithi za kufikirika, hayo ni mazungumzo ya watu wajinga, ulishawahi kumuona mtu aliyekwenda kumroga mtu kwasababu amefanikiwa maisha ili kumrudisha chini?, kama ambavyo hujamuona mchawi kwa macho yako, hata watu wanaokwenda kuroga kwasababu jamaa kajenga NYUMBA nzuri, ni hadithi za kijinga, zinazoenezwa na watu wajinga, epuka kuwa mmoja wao.
 
This is true!

Sio viongozi wa Tanzania!

Sema viongozi wa serikali ya chama cha kipumbavu cha CCM ndio wanaaminisha wananchi kua wao ni viongozi bora zaidi ya viongozi wa Kenya!

Thats on them sio kwetu sisi wananchi!

No one believe that nonsense!

Viongozi wanaotokana na CCM ni the most dumbest group of people on earth,not even close!

Ila wananchi wa both Tanzania and Kenya are lovely people with more in common zaidi ya differences!
 
Asante kwa kuwa mkweli.
 
Sitakubali, shukran lakini kwa kukubali kwamba mnaishi kiujinga ujinga. Maanake huo upuuzi ndio urithi wenu na sifa yenu kuu. Mkiongozwa na viongozi wa chama chenu. Hadi wanawapa dawa ya kujiunga na free mason! [emoji1]
 
😂Imetosha hio boss! Eti Kujiunga na Free Mason! You have to be beyond daft to believe that!
 
Sitakubali, shukran lakini kwa kukubali kwamba mnaishi kiujinga ujinga. Maanake huo upuuzi ndio urithi wenu na sifa yenu kuu. Mkiongozwa na viongozi wa chama chenu. Hadi wanawapa dawa ya kujiunga na free mason! [emoji1]
Ninarudia tena, wewe inaonekana kichwa ni mwako akili sio nzuri, duniani kote kuna watu wajinga na wajanja, ukiona watu wanafanya mambo ya kijinga, na wewe yakakugusa inaonekana na wewe ni mjinga
 
Sitakubali, shukran lakini kwa kukubali kwamba mnaishi kiujinga ujinga. Maanake huo upuuzi ndio urithi wenu na sifa yenu kuu. Mkiongozwa na viongozi wa chama chenu. Hadi wanawapa dawa ya kujiunga na free mason! [emoji1]
Angalieni ujinga wenu huu
 
Who is this stupid guy who does not even know the meaning of a peace. You talk about peace in Kenya? Then you should go back to school and learn how to compare things. Tourism? Because you promote Mt. Kilimanjaro is in Kenya? Just compare earnings and see how Tanzania is way far beyond Kenya recently. Read that and go to sleep!!

Read this as well::

Now what is this? Please stupid people, don't quote me. I don't do stupid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…