Mbona watu wanaoonekana wakarimu ndio wabaya zaidi?

Kwa Mkenya ambaye bado mgeni Tanzania unaweza kuwaona kama watu wakarimu sana, wangwana na wastaarab, ila ishi nao kama mwaka mmoja ndio uone uhalsia, yaani hamna ktu hunichukiza kama mtu ambaye anaficha hisia zake kwako, siku zote anakenua meno mkiwa naye, anakuamkia shikamoo na kukuita mkuu na maneno mazuri mazuri, ila ukiondoka kidogo anakusema kasoro zako kwa kila mtu, anaeleza anavyochukizwa nawe....

Napenda sana Ukenya, yaani kwa Kenya unaambiwa kama ilivyo, ukiwa na kasoro unatajiwa uzirekebishe.
 
Kenyans are real.
 
Kenyans are real.
Hahahaha, acheni kujiliwaza, kinachozungumzwa sio kuwa wawazi au wanafiki, tunazungumzia "Politeness". Hayo mnayosema ninyi ni " Hypocrisy ".

Kenyans are not Polite, that is the truth, about hypocrisy, that is completely a different thing.
 
Unless you don't know the meaning of the word hypocrisy, being polite whilst harboring hatred, contempt and jealousy is hypocrisy. Shida yenu lugha ya malkia huwapiga chenga.
 
Unless you don't know the meaning of the word hypocrisy, being polite whilst harboring hatred, contempt and jealousy is hypocrisy. Shida yenu lugha ya malkia huwapiga chenga.
Wakenya uwezo wenu wa akili ni mdogo sana, ndio sababu hampatani, ninyi mnadhani Kiingereza ndio kila kitu, mbona mnasumbuka kutafuta maelewano kila kukicha, hicho kiingereza kwanini kisiwasaidie kuleta maelewano miongoni mwenu.

Hypocrisy = Unafiki
Politeness = Upole
Are they the same?.

Upole ni hali ya kuwa mpole, mnyenyekevu na msikivu.

Unafiki ni hali ya kuwa na sura mbili, mtu anayebadilika kulinda maslahi yake, mtu mwenye "ndimi mbili"
 
Why are you so thick headed? Did I say hypocrisy is politeness? Read to understand, not to respond.

Unafiki ni hali ya kuwa na sura mbili, mtu anayebadilika kulinda maslahi yake, mtu mwenye "ndimi mbili"

Isn't this not what I said?
 
Was those days! Now becoming a history
 
Why are you so thick headed? Did I say hypocrisy is politeness? Read to understand, not to respond.

Isn't this not what I said?
Wewe tatizo lako ni uwezo mdogo wa kufikiria. Politeness is external expression of a person, while Hypocrisy is mainly internal, a person who is polite can be either hypocrite or not.

Mtu anaweza kuwa mpole na wakati huohuo akawa mnafiki, kitendo cha kuwa mnafiki, hakimvui upole wake. Kwahiyo hata kama watanzania ni wanafiki, hilo haliwafanyi wasiwe Wapole. May be you can say that" Tanzanians are polite but hypocrite, but you can't deny them their quality of being polite because they are hypocrite.
 
Dude, I have explained why Tanzanians are hypocrites. You can choose to understand what you want to understand. It is no longer my business.
 
Pata shule ya hapa

..............and I should play along to an idiot who can't comprehend a simple English statement on matters linguistics? Perhaps if you paid attention in school, you wouldn't be on YouTube trying to learn remedial English. 😅 😅
 
..............and I should play along to an idiot who can't comprehend a simple English statement on matters linguistics? Perhaps if you paid attention in school, you wouldn't be on YouTube trying to learn remedial English. [emoji28] [emoji28]
Those are words that indicate politeness, by apologizing when you make mistakes is the sign of politeness, has got nothing to do with hypocrisy. You Kenyans you can't even say I am sorry when you do mistakes, very rude people, stupid.
 
Sawa, jipikie makofi kwa kujielimisha ujinga basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…