Mboni Masimba ajifungua mtoto wa kiume

Hongera mam songa mbele mam ya walimwengu ni kawaida sana iwe ndugu au rafik waliokuzarau wanakusalimia kw heshima
 
Uislam unaingiaje hapo sasa? Kama kweli angefuata dini huyo alitakiwa apigwe mawe mpaka afe? Why? Kazaa halafu hajaolewa!so? Mzinzi!!!...mnapowa discuss hawa wazinzi msiingize mambo ya dini wajadilini wenyewe tu na uzinzi wao
Duuh! Hii kali. But you do have a point Kalagabaho.
 
Ila mboni naye kama ukahaba kaufanya! Sasa kipumzishe dada, utafute na mume utulie kha! Chief kiumbe hongera tena kwa kupata mtoto!
 
Hongera Mboni, ila utamnyonyeshaje sasa na hilo ziwa moja?
 
Hayatuusu post vtu vya maana cyo umbea, hongera za nn au kisa super star, demu wako hajifungua hujapa hongera
 
Duh hivi hakuna mwana JF hapa na mimi nikamtia moja ili wanaJF wapendwa wampongeze siku moja? Kwahio kumbe Mboni nae alifanya bila kutumia kifanyio eeeh???
 

mtt wa s.ettoo,kuz alivyokuj bidaa alipeleka papa bila kuombwa mhuni akapita nae
 
Kwanini ionyeshwe picha ya vidole vilivyoshikana na vingine kuachana na si nyingine zozote?

BTW ukitaka kuonyesha picha ya kwa mfano mwanao utaonyesha sura au miguu?
Marehemu Machache kapiga sana hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…