rose msaky
New Member
- Mar 6, 2015
- 4
- 0
Hongera mam songa mbele mam ya walimwengu ni kawaida sana iwe ndugu au rafik waliokuzarau wanakusalimia kw heshima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtoto wa fally ipupa? au mpoki?
hongera sana mboni kuitwa mama raha jamani regardless of the old age
Duuh! Hii kali. But you do have a point Kalagabaho.Uislam unaingiaje hapo sasa? Kama kweli angefuata dini huyo alitakiwa apigwe mawe mpaka afe? Why? Kazaa halafu hajaolewa!so? Mzinzi!!!...mnapowa discuss hawa wazinzi msiingize mambo ya dini wajadilini wenyewe tu na uzinzi wao
Mguu kama wa etoo
Unahukumu?
Unahukumu?
Hongera Mboni, ila utamnyonyeshaje sasa na hilo ziwa moja?
Ila mboni naye kama ukahaba kaufanya! Sasa kipumzishe dada, utafute na mume utulie kha! Chief kiumbe hongera tena kwa kupata mtoto!
Leo asubuhi nikiwa katika pitapita zangu nimekutana na mtu akimpongeza Mboni kwa kujifungua mtoto wa kiume.
Hii imekuja kama suprise kwangu kwani wakati wote wa ujauzito alikuwa kimya tofauti na mtaa wa pili wanavyoinadi mimba ya wifi wa taifa na angalau sasa walimwengu watapunguza kuongea maneno yao ya kukera nafsi.
Hongera sana Mboni Masimba.Mola akukuzie Inshaalah.
Marehemu Machache kapiga sana hapoKwanini ionyeshwe picha ya vidole vilivyoshikana na vingine kuachana na si nyingine zozote?
BTW ukitaka kuonyesha picha ya kwa mfano mwanao utaonyesha sura au miguu?