Mbosso ameisimamisha nchi kwa masaa kadhaa

Mbosso ameisimamisha nchi kwa masaa kadhaa

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
20221028_134720.jpg


20221028_134734.jpg


Baada tu ya kuachia EP yake sasa nchi yote imesimama inamsikiliza Mbosso.

Kila kona ya taifa la Tanzania basi Mbosso ndiyo habari ya mjini.

Kwa wale waliyokuwa wanaulizia matokeo, kwenye soka tunasemaga "Uwanja umeinama".
 
Unauhakika Taifa la Tanzania lote limeacha kazi zake na kumsikiliza mbosso.

Namkubali Mbosso Kinyama lakini hili la kusema nchi yote imesimama kumsikiliza mbosso si kweli.

Hii kamba ni ndefu mno
Mkuu pita mitaani pita digital platforms zote, habari ya mjini ni Mbosso anazungumzwa sana na anasikilizwa sana. Au wewe upo msituni nini?

Kuna mtu anajuta kutafuta slope ya upepo wa wasafi anapumulia pua moja sasa hivi.
 
Ndugu labda kama kazi yako unaifanyia kwenye hizo platforms zako vinginevyo..acha kufunga watu kamba.

Wewe unajua Tanzania inaukubwa gani mpka iache kufanya mambo ya msingi isimame kumsikiliza Mbosso!!🤣🤣punguza kamba
Huyu anayeuzungumzia "Tanzania nzima" hata kisarawe hapo hajawah kufika weka mbali Tanzania nzima 😁😁
 
😂 we jinga kweli nchi isimame kwa lipi sasa ndo maana tunatukanwa sisi ni vijana wa hovyo
Hauwezi kuwa kijana wa hovyo kwa kumskiliza fundi mbosso khan tajiri wa mbegu... kijana ana talent ya ajabu
 
Back
Top Bottom