Mbosso ameisimamisha nchi kwa masaa kadhaa

Mbosso ameisimamisha nchi kwa masaa kadhaa

View attachment 2400404

View attachment 2400406

Baada tu ya kuachia EP yake sasa nchi yote imesimama inamsikiliza Mbosso.

Kila kona ya taifa la Tanzania basi Mbosso ndiyo habari ya mjini.

Kwa wale waliyokuwa wanaulizia matokeo, kwenye soka tunasemaga "Uwanja umeinama".
Kweli aliusimamisha ulimwengu
Naona mpaka jamii fulani walijaa
Kwenye show yenu,nasikia hapo boss
Wenu kutwa kukombatiwa

Ova
Screenshot_20221030-115703_YouTube.jpg
 
Ndugu labda kama kazi yako unaifanyia kwenye hizo platforms zako vinginevyo..acha kufunga watu kamba.

Wewe unajua Tanzania inaukubwa gani mpka iache kufanya mambo ya msingi isimame kumsikiliza Mbosso!![emoji1787][emoji1787]punguza kamba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnoooo.
 
Nchi kubwa itakua ilisimama upande wako mtoa mada. Mpaka leo siijui ngoma yoyote kati ya hizo alizotoa na maisha yanaendelea
 
Back
Top Bottom