sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Mkuu pita mitaani pita digital platforms zote, habari ya mjini ni Mbosso anazungumzwa sana na anasikilizwa sana. Au wewe upo msituni nini?Unauhakika Taifa la Tanzania lote limeacha kazi zake na kumsikiliza mbosso.
Namkubali Mbosso Kinyama lakini hili la kusema nchi yote imesimama kumsikiliza mbosso si kweli.
Hii kamba ni ndefu mno
Huyu anayeuzungumzia "Tanzania nzima" hata kisarawe hapo hajawah kufika weka mbali Tanzania nzima ππNdugu labda kama kazi yako unaifanyia kwenye hizo platforms zako vinginevyo..acha kufunga watu kamba.
Wewe unajua Tanzania inaukubwa gani mpka iache kufanya mambo ya msingi isimame kumsikiliza Mbosso!!π€£π€£punguza kamba
Hauwezi kuwa kijana wa hovyo kwa kumskiliza fundi mbosso khan tajiri wa mbegu... kijana ana talent ya ajabuπ we jinga kweli nchi isimame kwa lipi sasa ndo maana tunatukanwa sisi ni vijana wa hovyo
Mimi ni kama encyclopedia ya hii nchi hakuna sehemu sijakanyaga hapa Tanzania.Huyu anayeuzungumzia "Tanzania nzima" hata kisarawe hapo hajawah kufika weka mbali Tanzania nzima ππ
Safari hii hapewi mtu slope zama za kutegemea huruma zimeisha πππEmbu acha kuchafua masikio yako kusikiliza huo uchafu...umeisikia EP ya mnyama Kondegang mjeshi?
Huku nilipo hata hatujui kama kuna EP imeachiwa leo