ToniXrated
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 1,134
- 2,993
Mim nitakua uvunguni mwa TanzaniaView attachment 2400404
View attachment 2400406
Baada tu ya kuachia EP yake sasa nchi yote imesimama inamsikiliza Mbosso.
Kila kona ya taifa la Tanzania basi Mbosso ndiyo habari ya mjini.
Kwa wale waliyokuwa wanaulizia matokeo, kwenye soka tunasemaga "Uwanja umeinama".
Njoo mjini dogo, limepigwa shetani hapa samaki mcity ilo shangwe balaaaaaaa...shogolozaaa oooh salome salome niweke niwe shemu wako salome 🎼🎼💥💥🤣🤣Mim nitakua uvunguni mwa Tanzania
Aah kumbeNjoo mjini dogo, limepigwa shetani hapa samaki mcity ilo shangwe balaaaaaaa...shogolozaaa oooh salome salome niweke niwe shemu wako salome 🎼🎼💥💥🤣🤣
Chukuchu chukuchu chukuchu 😁😁😁😁E.P ya hovyo Sana sijawahi ona, Yaani Mbosso ameimba mashushu tu
Huyo Mbosso anachezea timu gani?View attachment 2400404
View attachment 2400406
Baada tu ya kuachia EP yake sasa nchi yote imesimama inamsikiliza Mbosso.
Kila kona ya taifa la Tanzania basi Mbosso ndiyo habari ya mjini.
Kwa wale waliyokuwa wanaulizia matokeo, kwenye soka tunasemaga "Uwanja umeinama".
Jambo la wakata mauno mzikimzikiHii nchi ina wajinga wengi
Hapo kwa harmonize wamejuisha na nyimbo zake 6 ambazo zilishatoka muda mrefu
Kazi kweli kweliNchi ya wapi??
Mboso ni nani??
Na EP maana yake nini??
Huku nilipo tupo bize kuandaa mashamba tulime