Mbosso ameisimamisha nchi kwa masaa kadhaa

Kweli aliusimamisha ulimwengu
Naona mpaka jamii fulani walijaa
Kwenye show yenu,nasikia hapo boss
Wenu kutwa kukombatiwa

Ova
 
Ndugu labda kama kazi yako unaifanyia kwenye hizo platforms zako vinginevyo..acha kufunga watu kamba.

Wewe unajua Tanzania inaukubwa gani mpka iache kufanya mambo ya msingi isimame kumsikiliza Mbosso!![emoji1787][emoji1787]punguza kamba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnoooo.
 
Nchi ya wapi??


Mboso ni nani??

Na EP maana yake nini??

Huku nilipo tupo bize kuandaa mashamba tulime
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dyadyaa eti nn?
 
Nchi kubwa itakua ilisimama upande wako mtoa mada. Mpaka leo siijui ngoma yoyote kati ya hizo alizotoa na maisha yanaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…